Zanzibar 2020 Zanzibar: Majimbo manne ya uchaguzi yafutwa na kubakiza Majimbo 50

Hayo yaliopunguzwa ni kutoka Pemba au Unguja? Natamani na Tanganyika yapungue jamani. Wingi wa wabunge unaliangamiza taifa. Wabunge ni wawakilishi Tu sio lazima wawe wengi.
Wabunge 394 Kwa nchi hii ni wengi Sana.
250 Tu wanatosha.

2020
 
Zanzibar ilitakiwa kuwa na majimbo 10 tu!
10 bado ni mengi sana. Kwenye baraza lao la wawakilishi wanaweza hata kuwa na majimbo 100, lakini kwenye bunge la Jamhuri wanatakiwa kuwa na majimbo 5 tu. 3 Unguja na 2 Pemba. Wapiga kura kwenye majimbo ya huko wanazidiwa idadi na wapigakura kwenye mitaa huku bara.
 
Acheni uwoga tuwafundishe nini maana ya demokrasia

Kiongozi wa awamu hii hajawahi kuwa muumini wa kushinda kwa box la kura. Na iwapo watanzania wakiamua kujitokeza kupiga kura, na kuzilinda lazima atamwaga damu kwa kung'ang'ania madarakani.
 
Tatizo lako unapenda kufikiria vitu ambavyo havipo

Mkuu usijali.

ZANZIBAR UPINZANI NI KAMA KASHATA, HAISHI UTAMU.

Mwaka 2015 ZEC kwa KUSHIRIKIANA NA CCM walifanya hadaa kama hizi na kuongeza majimbo kuwa 54 badala 50 YA AWALI...
Mungu wabariki wazanzibar wale 87% wanaomuamini Maalim Seif
 
Mkuu usijali.

ZANZIBAR UPINZANI NI KAMA KASHATA, HAISHI UTAMU....

Hayo manne ni yale ya Unguja na sio pemba, ccm kwa fikra zao hayo 32 ya unguja watachukua wao, uchaguzi wa October 2015 cuf ilichukua majimbo ya sio pungua 15 unguja pata kwa papatu cuf ikayapata majimbo 9

Wasifikirie mara hii itakuwa kama October 2015 , Act wazanzibari watakufa na wahujumu uchaguzi, wacha wajaribu
 
Tatizo lako unapenda kufikiria vitu ambavyo havipo

Sifikirii yasiyokuewpo bali natoa mrejesho, alikuwa mbunge kwa miaka 20, fuatilia ni mara ngapi alishinda kwa box la kura. Na kama alipita bila kupingwa alicheza figisu kiasi gani. Ukijua hilo uje ulete mrejesho.
 
Hayo manne ni yale ya Unguja na sio pemba, ccm kwa fikra zao hayo 32 ya unguja watachukua wao, uchaguzi wa October 2015 cuf ilichukua majimbo ya sio pungua 15 unguja pata kwa papatu cuf ikayapata majimbo 9

Wasifikirie mara hii itakuwa kama October 2015 , Act wazanzibari watakufa na wahujumu uchaguzi, wacha wajaribu
Umeandika kikakamavu mno !
 
Tume ya uchaguzi ya Zanzibar imetangaza kufuta majimbo manne ya uchaguzi na hivyo kubaki majimbo 50 pekee, ambapo Unguja yatakuwa 32 huku Pemba yakibaki 18.

Haijafahamika kama Tume imejituma yenyewe kufanya jambo hilo au imetumwa ili kuwaokoa watu fulani na wala hakuna sababu zozote za maana zilizotolewa.
Hatuna uchaguzi tuna maigizo tupu
 
Tume ya uchaguzi zanziber imefuta majimbo manne ya uchaguzi zanziber baada ya wapinzani kulalamikia kuwa wananchi wanachanganywa kipindi cha uchaguzi.

Nadhani wapinzani sasa hakuna haja ya kulalamikia tume kuwa malalamiko yao hayasikilizwi.
 
Kwa hiyo likisikilizwa moja na kutekelezwa maana yake yamesikilizwa yote..?
 
Magufuli amekuwa akishinda kwa kura za kishindo toka 95 kuanzia mchakato wa chama hadi wa kijimbo
Sifikirii yasiyokuewpo bali natoa mrejesho, alikuwa mbunge kwa miaka 20, fuatilia ni mara ngapi alishinda kwa box la kura. Na kama alipita bila kupingwa alicheza figisu kiasi gani. Ukijua hilo uje ulete mrejesho.
 
Tume ya uchaguzi zanziber imefuta majimbo manne ya uchaguzi zanziber baada ya wapinzani kulalamikia kuwa wananchi wanachanganywa kipindi cha uchaguzi.

Nadhani wapinzani sasa hakuna haja ya kulalamikia tume kuwa malalamiko yao hayasikilizwi.
Zanzimber?
 
Ni ya Pemba au Unguja?

Kila kitu hutokea kwa sababu!
 
Magufuli amekuwa akishinda kwa kura za kishindo toka 95 kuanzia mchakato wa chama hadi wa kijimbo

Narudia tena, uliza wala usione aibu kuwa ni mara ngapi alishinda kwa box la kura. Ukishajua hilo ujue ni kwanini sasa hivi chaguzi zetu zimekithiri, ushenzi, ukatili, uhayawani na kulazimisha kupita bila kupingwa.
 
Tume ya uchaguzi ya Zanzibar imetangaza kufuta majimbo manne ya uchaguzi na hivyo kubaki majimbo 50 pekee, ambapo Unguja yatakuwa 32 huku Pemba yakibaki 18.

Haijafahamika kama Tume imejituma yenyewe kufanya jambo hilo au imetumwa ili kuwaokoa watu fulani na wala hakuna sababu zozote za maana zilizotolewa.
Zitaje sababu zilizoelezwa ili na sisi tujiridhishe wenyewe kwamba sababu hizo siyo za maana kama wewe unavyodai? Hapo hapo unasema haijafahamika kama Tume imejituma yenyewe au la. Kwa nini usidodose kwanza undani wa mambo ili kuzipa mshiko hoja unazozitoa?
 
Back
Top Bottom