Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,579
Maelezo ya kwenye video mbona yanajitosheleza kabisa. Haiingii akililini majimbo ya Bunge la Muungano ni 50 halafu majimbo kwa upande wa Wawakilishi yawe ni 54.Hujuma zimeshaanza!!!
Serikali yoyote inayofahamu haina ubavu wa kushinda kwenye fair election pamoja na mambo mengine lazima watumie gerrymandering!
Lakini wakumbuke kufuta majimbo hakupunguzi idadi ya watu wanaoweza kuindoa CCM Madarakani!!
Ningefurahi na huku Bara majimbo yangeainishwa upya ila yaendane na idadi ya wilayo tulizonazo. Sababu ya ukubwa wa eneo si hoja kwani kuna madiwani