Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Watafanya yote lakini siku yao ikifika miti youte itateleza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila lile la Gwaji boy wasilipunguze.Hayo yaliopunguzwa ni kutoka Pemba au Unguja?
Natamani na Tanganyika yapungue jamani. Wingi wa wabunge unaliangamiza taifa. Wabunge ni wawakilishi Tu sio lazima wawe wengi.
Wabunge 394 Kwa nchi hii ni wengi Sana.
250 Tu wanatosha.
2020
kupunguza majimbo ya wapinzani si hujuma inategemea uko upande upi kutafsiri mambo! hiyo si hujuma ni mipango na mikakati ya ushindi, jingine ni kuhakikisha wagombea ubunge hatari toka upinzani wanakosa vigezo vya form za ubunge au wanacheleweshwa kurudisha forms hadi muda unapita, jingine ni magoli ya mkono vituo vya kupigia kura hadi ofisi kuu!!!mwenyekiti wa tume unaanzaje kumtangaza mpinzani kashinda huna akili? hujali tumbo lako na matumbo ya wanao?Hujuma zimeshaanza!!!
Serikali yoyote inayofahamu haina ubavu wa kushinda kwenye fair election pamoja na mambo mengine lazima watumie gerrymandering!
Lakini wakumbuke kufuta majimbo hakupunguzi idadi ya watu wanaoweza kuindoa CCM Madarakani!!
Pole sanakupunguza majimbo ya wapinzani si hujuma inategemea uko upande upi kutafsiri mambo! hiyo si hujuma ni mipango na mikakati ya ushindi, jingine ni kuhakikisha wagombea ubunge hatari toka upinzani wanakosa vigezo vya form za ubunge au wanacheleweshwa kurudisha forms hadi muda unapita, jingine ni magoli ya mkono vituo vya kupigia kura hadi ofisi kuu!!!
Katika wakati huu nchi imetangazwa kuwa na uchumi wa kati na nchi inayaona mawe makubwa ya Tanzanite kwa mara ya kwanza , umeme haukatwi tena kwa kuuzia majenereta , ndege kama zote na SGR inashika kasi , naishauri tume ya uchaguzi ihakikishe wapinga juhudi wa bara wasipate kiti hata kimoja bungeni sababu kelele zao kupitia bungeni ndo zinaletwa mwangwi ambao unavuka bahari na kutua ulaya na marekani na kuchafua juhudi za Mkulu.
Mkuu habari za Geitakupunguza majimbo ya wapinzani si hujuma inategemea uko upande upi kutafsiri mambo! hiyo si hujuma ni mipango na mikakati ya ushindi, jingine ni kuhakikisha wagombea ubunge hatari toka upinzani wanakosa vigezo vya form za ubunge au wanacheleweshwa kurudisha forms hadi muda unapita, jingine ni magoli ya mkono vituo vya kupigia kura hadi ofisi kuu!!!mwenyekiti wa tume unaanzaje kumtangaza mpinzani kashinda huna akili? hujali tumbo lako na matumbo ya wanao???
Katika wakati huu nchi imetangazwa kuwa na uchumi wa kati na nchi inayaona mawe makubwa ya Tanzanite kwa mara ya kwanza , umeme haukatwi tena kwa kuuzia majenereta , ndege kama zote na SGR inashika kasi , naishauri tume ya uchaguzi ihakikishe wapinga juhudi wa bara wasipate kiti hata kimoja bungeni sababu kelele zao kupitia bungeni ndo zinaletwa mwangwi ambao unavuka bahari na kutua ulaya na marekani na kuchafua juhudi za Mkulu.
Kwani 2015 chadema na cuf zanzibar mlichapisha fomu ngapi za kugombea urais ??Moga ni yule bwana mkubwa aliyechapisha fomu moja ya kugombania urais
maswali yako yanamhusu aliyefuta majimboZitaje sababu zilizoelezwa ili na sisi tujiridhishe wenyewe kwamba sababu hizo siyo za maana kama wewe unavyodai? Hapo hapo unasema haijafahamika kama Tume imejituma yenyewe au la. Kwa nini usidodose kwanza undani wa mambo ili kuzipa mshiko hoja unazozitoa?
Mkuu ahsante kunijali nilikuwa Geita nimetoka kidogo nimekuja Zenj kuweka mikakati ya udhamini wa Mh Jecha washamba visiwani wanamzingua !! Mh Jecha ni mtu jasiri na genius kuliko wote Zenj kwasasa ndie pekee Tanzania bara anatufaa!!Mkuu habari za Geita
mkuu rekebisha kauli yako aliefuta uchaguzi ni mtu mmoja tu genius Mh Jecha ambae ni anafaa kwa urais sababu hawamtaki na washamba wale wanamzingua udhamini hadi sasa timu nzima tumeenda kumsaidi!! nimeona umetumia nafsi ya wingi!!! Zanzibar is our colony mkuu kuendelea kwao lazima kwanza waache uvivu wafanye kazi na wasome na kisha waje huku bara na mkakati mzuri wa kiuchumi tuukague na tuupitishe na hiyo sio leo!!Walipofuta ule uchaguzi wa zanzibar,tulitegemea wapo wenyewe wangefanya makubwa kwenye uchumi wa mtu mmoja mmoja,
Lakini matokeo yake miaka 5 hali ndiyo imezidi kuwa mbaya sana ,siyo visiwani tu hata huku bara.
Kwa nini sasa ulete mada hapa jamvini kwa taarifa nusunusu? Kama ulitaka myamalize wawili tu na mfuta majimbo, usitujuze kabisa sisi tusiohusika kwani unaamsha shauku bure kwetu kujua kulikoni.maswali yako yanamhusu aliyefuta majimbo
Mkuu, mpaka CHADEMA wameweka mgombea Zanzibar na wewe unasema hakuna uchaguzi?Mwaka huu hamna uchaguzi!!
tena Zanzibar 100% ni wawakilishi wa ccm tu , lakini dhiki ni mara dufu !Walipofuta ule uchaguzi wa zanzibar,tulitegemea wapo wenyewe wangefanya makubwa kwenye uchumi wa mtu mmoja mmoja,
Lakini matokeo yake miaka 5 hali ndiyo imezidi kuwa mbaya sana ,siyo visiwani tu hata huku bara.