Maelezo ya kwenye video mbona yanajitosheleza kabisa. Haiingii akililini majimbo ya Bunge la Muungano ni 50 halafu majimbo kwa upande wa Wawakilishi yawe ni 54.Hujuma zimeshaanza!!!
Serikali yoyote inayofahamu haina ubavu wa kushinda kwenye fair election pamoja na mambo mengine lazima watumie gerrymandering!
Lakini wakumbuke kufuta majimbo hakupunguzi idadi ya watu wanaoweza kuindoa CCM Madarakani!!
People always have justifications for what they do, lakini mtu hana haja ya kuwa na Shahada ya Political Science kufahamu lau kama Pemba ingekuwa ndo ngome ya CCM na Unguja ndio ngome ya upinzani, suala la kuunganisha majimbo lingekuwa ni kinyume chake!!Maelezo ya kwenye video mbona yanajitosheleza kabisa. Haiingii akililini majimbo ya Bunge la Muungano ni 50 halafu majimbo kwa upande wa Wawakilishi yawe ni 54.
Ningefurahi na huku Bara majimbo yangeainishwa upya ila yaendane na idadi ya wilayo tulizonazo. Sababu ya ukubwa wa eneo si hoja kwani kuna madiwani
10 yote ya nini? Unguja ilitakiwa iwe jimbo ndani ya mkoa wa Dar Es Salaam na Pemba ni jimbo ndani ya Mkoa wa Tanga.Zanzibar ilitakiwa kuwa na majimbo 10 tu!