Zanzibar mbioni kuanzisha shirika lake la ndege ''Zanzibar Airline''

Tangu lini ndege za ATCL zikawa na routes Ulaya?

Labda Ile ya mizigo.

Mwisho wakati mnanunua mitumba mlitegemea nini? Kuna kitu gani Cha maana nyie wadanganyika mnakiweza tofauti na mdomo?
Walikurupuka hawakuwa na business plan ,na sijuwi kama waliwahusisha wataalam wetu wa masuala ya ndege sana sana wanasiasa ndy wao wakawa ndiyo kila kitu

Ova
 
Walikurupuka hawakuwa na business plan ,na sijuwi kama waliwahusisha wataalam wetu wa masuala ya ndege sana sana wanasiasa ndy wao wakawa ndiyo kila kitu

Ova
Ulaya ilishaga zuia ndege za Bongo kitambo sana Kwa sababu za usalama.

Hii ya Sasa ni vigezo vipya so Bado Tanzania haijatoka huko.

Nimeona mapovu huko nikajua Hawa ni mbumbumbu hakuna wanachojua.
 
Hatuna muungano kwenye jambo lolote, waende zao huko Zanzibar tubaki na mikokoteni yetu.

Unadhanibnani anahitaji ndege zao?
Ulinzi
Mambo ya Ndani
Mambo ya Nje
Elimu ya Juu
Sarafu

Kwani umewahi sikia Kuna Mzanzibar anautaka huo Muungano? Kwanza mwenye shida na Muungano ni Bara sio Zanzibar Sasa Amueni hata Sasa
 
🚮🚮🚮
 
Mtawapigia magoti Wazanzibar kama mnavyowapigia magoti Waarabu
Muarabu gani kapigiwa magoti?

Akiondoka kibaraka wao akarudi Zanziba hakuna muarabu atabaki bara.

Hata kikinuka leo hakuna muarabu atasalimika.
 
Hakuna kitu wazenji wanatamani na wanataka kama kuvunja muungano, basi tu tanganyika wamekaza fuvu....
 
Badala ya kuendelea kuinyonya Tanganyika miaka nenda, wangejitenga na kuanzisha Taifa lao huru. Too much is harmful. Ni wakati muafaka kwao nao kuanza kula kwa jasho.
 
na watatumia madege waliyonunua kwa pesa za bara. wala urojo hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…