Bado hakikuwa kipaumbele chao, period lkn sio suala la uwezo, pesa ipo.
Tanganyika ana ndege gani?Baada ya kuzichakaza ndege za Tanganyika sasa wanaanzisha zao, ambazo watanganyika hawatazigusa
Mdomo na wizi.Tangu lini ndege za ATCL zikawa na routes Ulaya?
Labda Ile ya mizigo.
Mwisho wakati mnanunua mitumba mlitegemea nini? Kuna kitu gani Cha maana nyie wadanganyika mnakiweza tofauti na mdomo?
Na wako mbio kweliBaada ya kuzichakaza ndege za Tanganyika sasa wanaanzisha zao, ambazo watanganyika hawatazigusa
Ni kitu gani Tanganyika imenyinya Zanzibar ?Tusipokuwa makini Zanzibar wanajiandaa kulipiza unyonyaji wote tuliowafanyia.
Pole, huna unalolijua.Zanzibar ni maskini kupindukia, ndiyo maana inashindwa kulipa madeni yake, kiasi cha kuitegemea Tanganyika iilipie. Tangu iungane na Tanganyika, Zanzibar haiwahi kulipa deni lake lolote. Zanzibar huwa inashindwa kulipia hata umeme wa TANESCO.
ZANZIBAR INAHUDUMIWA NA TANGANYIKA KAMA MTU MWENYE ULEMAVU MKUBWA.
Hata uanzishaji wa hilo shirika la ndege, Zanzibar inategemea mkopo utakaolipwa na Tanganyika.
Sasa hivi Zanibar inajengewa hospitali kubwa kwa gharama ya shilingi bilioni 400, mkopo uliochukuliwa na Tanganyika.
Ndugu yangu maisha ya Zenji magumu wanaishi Kwa kula boflo.Bora, hope waOMANI watawapa sapoti kubwa hao ndugu zetu
Natamani nikaishi znz
Ndio maana Wana akili Sasa wewe unashindia kiporo Cha ugali utapata wapi akili?Ndugu yangu maisha ya Zenji magumu wanaishi Kwa kula boflo.
Yangu lini wazanzibari wakawa na akili? Nadhani Zanzibar ikimeguka kutoka Tanzania alafu ukafanyika utafiti wa nchi yenye illiterate wengi Zanzibar itakuwa namba moja.Ndio maana Wana akili Sasa wewe unashindia kiporo Cha ugali utapata wapi akili?
Je. Morogoro nao wataruhusiwa kuwa nashirika lao la ndege ukizingatia Wana kiwanda cha kutengeneza ndege?Zanzibar iko katika mazungumzo na wawekezaji, ikiwa ni sehemu ya hatua zake za kuanzisha
Pesa za bara zinaenda kuwanunulia ndege. Na unakuta mafwala mna tetea huu wizi wa mali za Tanganyika
Dubai wana Emirates Air na Fly Dubai. UAE kama nchi wana Etihad Airways na hizo 2 za Dubai.
Hebu acheni ujinga wa pingapinga kwenye mambo ya maendeleo. Kama hamna elimu ya biashara ulizeni mueleweshe
Yaani chadema kazi ni moja tu, crushing kila kinachotokea hawana jema pumbavu sana, chadema ibakie na makatuni yao na vijineno vya kwenye kanga tu, kwa fikra vitawakomboa πππBaada ya kuzichakaza ndege za Tanganyika sasa wanaanzisha zao, ambazo watanganyika hawatazigusa
Hujui kitu wewe kapuku, Shut Up!Yaani chadema kazi ni moja tu, crushing kila kinachotokea hawana jema pumbavu sana, chadema ibakie na makatuni yao na vijineno vya kwenye kanga tu, kwa fikra vitawakomboa πππ
Mwenye macho haambiwi tazamaweka ushahidi
Hahaaaa, ngoja wajeNdugu yangu maisha ya Zenji magumu wanaishi Kwa kula boflo.
Chadema ni UTI isiyotibikaYaani chadema kazi ni moja tu, crushing kila kinachotokea hawana jema pumbavu sana, chadema ibakie na makatuni yao na vijineno vya kwenye kanga tu, kwa fikra vitawakomboa πππ