T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
P. W. Botha"Black People can not rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they would kill themselves, give them power, they will steal all the Government (Public) money, give them Independence and Democracy, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and wars."
Ma-angimiziMAGAZIJUTO
Basi yote heriMbuzi wa Bwana Heri .........
Kuna watu wanaitwa wasomali na waethiopia nilikuwa siwajui walivyo na akili mbovu za kikabila na udini, niliishi nao kidogo lakini nilichoona kidogo kuhusu jamii yao wanavyochukiana na kujiona bora zaidi ya wengine mungu awasaidie tuu, hawa watu kama wewe sio kabila lake au dini yake ni kama nusu binadamu kwake na kila kitu chako ni wrong kuanzia chakula, unavyovaa, culture ,dini etc naamini ile vita watachapana mpaka mwisho wa dunia"Black People can not rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they would kill themselves, give them power, they will steal all the Government (Public) money, give them Independence and Democracy, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and wars."
Kuna siku Mh. Rais akiwa Kigamboni alisema wanategemea kuwaachia kuacha uendeshaji wa vivuko kwa taasisi binafsi. Nadhani zile taasisi ndo zishaanza kukusanya working tools! Tusubiri muda ni muamuzi mzuri!!Wizara ya Uchukuzi Zanzibar imechukua uamuzi wa kutoendelea na ukarabati na kuiuza Meli hiyo kwa mnunuzi ambaye hajatajwa ili kupunguza hasara.
Usishangae ukijua Kodi yako ndio iliyogharamia!Mambo ya nchi Jirani hayo hayatuhusu.
Labda wengi hamjui kuhusu meli,meli Bora uuze Kwa hasara kuliko kuendelea nayo. US government walitoa bureeeee retired Aircraft carrier sababu cost ya kuidismantle kama chuma chakavu ni kubwa kuliko Thamani ya hivo vyuma.Hii inanikumbusha bajaj yangu nilishatengeneza hadi nikachoka kuangalia matengenezo ya miezi minne ni 1.2 milion .
Nikaona hapa ntatoka busha na hii chombo ngoja niuze ,nikaja kupata mteja wa laki 4 tena kwa awamu na pia nahisi kuna kama elfu 20 sijapewa hadi leo.
Kwenye taarifa ya habari ITV nimeona kwamba asilimia 80 ya watahiniwa wa 4m 4 wanapata division zero na weak 4.Mambo ya nchi Jirani hayo hayatuhusu.