Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Hahahaaa...... Tundu Lissu alishasema hakuna aliye salama akasema zaidi kua hata kinana na makamba hawako salama na hakuna aliyekanusha😄😄😄😄Bila Shaka wewe ndie wale wa vyeti feki
Au Wasomi uchwara mlio kosa ajira
Ama Jipu lililo Iva alafu likatumbuliwaa
Poleee sanaaaa
Magu mitano tenaa
Kafie mbeleeee
Tundu Lissu kaendelea kutukumbusha zaidi aliposema kila mmoja ana September 7 yake😲😲