Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,263 Sep 13, 2020 #261 Mamserenger said: Bila Shaka wewe ndie wale wa vyeti feki Au Wasomi uchwara mlio kosa ajira Ama Jipu lililo Iva alafu likatumbuliwaa Poleee sanaaaa Magu mitano tenaa Kafie mbeleeee Click to expand... Hahahaaa...... Tundu Lissu alishasema hakuna aliye salama akasema zaidi kua hata kinana na makamba hawako salama na hakuna aliyekanusha😄😄😄😄 Tundu Lissu kaendelea kutukumbusha zaidi aliposema kila mmoja ana September 7 yake😲😲
Mamserenger said: Bila Shaka wewe ndie wale wa vyeti feki Au Wasomi uchwara mlio kosa ajira Ama Jipu lililo Iva alafu likatumbuliwaa Poleee sanaaaa Magu mitano tenaa Kafie mbeleeee Click to expand... Hahahaaa...... Tundu Lissu alishasema hakuna aliye salama akasema zaidi kua hata kinana na makamba hawako salama na hakuna aliyekanusha😄😄😄😄 Tundu Lissu kaendelea kutukumbusha zaidi aliposema kila mmoja ana September 7 yake😲😲