THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
-
- #61
Well, that's very poor from you.....Wazanzibari wamuondoe Hussein Mtanganyika anayewatawala kimabavu.
..Na huku Tanganyika tumuondoe Samia. Haiswihi Mzanzibari atutawale Watanganyika.
Nlienda zenji bwana , kule neno " kukufira" ni kama kibwagizo cha wimbo ulio boraFriends and Our Enemies,
Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.
Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...
Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.
Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.
Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.
Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.
ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.
Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.
Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.
Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Mkuu acha ubishi fuata ushauri wawadau. Kukataza watu kula ni kuingiza mambo yanayowezekana ngazi ya familia kwenye taifa zima. Hapo mtafeli tuMnawalisha bure au wananunua?
Zanzibar ni kisiwa, automatically ardhi Yao ya kilimo ni finyu,Sasa Cha ajabu hapo ni kipi?hiyo nayo ni hoja?
Eti watalishwa na nani,kwani mnawapa chakula bure?
Na why unazungumza as if umeambiwa hao wazanzibar ndie wameukumbatia huo muungano?au kwamba bila muungano hawataishi?mbona Kuna visiwa vingi tuh mfano Comoro hapo wanaishi na hawana muungano na nchi yyte ya bara?
Kitu kinachowasukuma makafiri wengi ni chuki tuh.,hakuna lolote la zaidi.
Ukweli si chuki, tatizo ni kwamba nimenyooka! Sikubaliani na unafiki.Ondoa chuki kwanza ndipo uwe free kujadili,bila hivyo mjadala wako utakuwa unageuka kuwa emotional badala ya kutumia facts.
Kuntu! kwahiyo ni makosa kusema Tanganyika inapeleka malaya. Zanzibar kama sehemu ya dunia ina malayaUmalaya upo duniani miaka na miaka,hata mambo ya Sodomy yapo duniani zaidi ya miaka elfu kabla ya kuzaliwa kristo na Bado hadi Leo yanaendelea kiasi Cha kufikia hadi kiongozi wenu Mkuu Papa kutoa holy permit Kwa watu kuendelea na ndoa hizo .
Ndio lakini si kwa kuchagua. Mtanganyika akila ni tatizo, Wazungu wakila poa!Nachokueleza ni kwamba Zanzibar Ina by laws zake ambazo wakazi na wageni lazima wazifuate,na hizo by laws ziko prescribed na enforced pale zisipofuatwa.
Nani anawapinga? Waweke sheria zao kama ile ya kuzuia ndizi na nyingine nyingi za kibaguzi.Sasa huwezi kuwapangia wasitekeleze eti Kwa kuhofia watalaumiwa na wewe uliekwenda huko.
Siku hizi zimezidi na kuwa kazi ya kipato. Hakuna shida ! ni kazi kama nyingine.Hizo bikini unazosema kwani zimeanza lini?na unataka wafanyaje Nini Sasa,wachapwe viboko ndiyo uone kama juhudi hazifanyiki?
Sasa Watanganyika si wageni! wafuate sheria. Ipo siku watakuwa wageni wetu! ipo inakujaWageni wanapofika wanaelezwa,na huwezi kutumia nguvu kwenye kila jambo, tambua ukweli na uukubali hata kama ni mchungu.
Mila za Zanzibar ziheshimiwe,asietaka kuziheshimu siyo lazima kwenda,bakia kwenu bara uishi Kwa uhuru unaoutaka
Still you don't get it,Humo nilimo-bold!
Ikiwa ninyi Zanzibar mnamo April 1964 mlikubali ndoa na Tanganyika lakini mpo hapa leo kulilia utamaduni wenu mimi na ninyi ni nani hayo maneno ktk bold kubwa yana-apply kwake?toka mmekubali kuungana na Tanganyika tamaduni zenu (well,sizijui exactly tamaduni zenu mnazozililia) zipo/zimebaki/zilibaki ndani ya nyumba za wapemba au yeyote mkazi hapo Zanzibar ambae kiasili ni Mtanzania bila kujali ni Msambaa,Mkurya Mmakonde au yeyote muhimu afanye kile kinaihusu asili yake bila kumuudhi mwenzake.
Hayo unayaona miaka hii kwa sababu jamii imeamka,jamii ya leo siyo ile ya 70s ya ndiyo mwenyekiti ndiyo mwenyekiti sisi wa leo tunataka fact na kwa msuguano huu ni mingine itakayokuja ipo siku nduguzo boti hazitawatosha kuvuka maji kurudi hapo Kisiwani kiasi wengine watalazimika kupiga mbizi.
Mila za WaarabuFriends and Our Enemies,
Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.
Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...
Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.
Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.
Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.
Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.
ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.
Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.
Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.
Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Well, that's very poor from you...
Kumkamata anayekula ambaye hakulazimishi wewe kula, ni uwendawazimu wa hali ya juu.Kinachowasumbua huko ni elimu visoda kichwani!!!
Huko makabila mengi wanaishi huko na kila mmoja ana utamaduni wake vibaya kama kabila hili atenda kukaa kwenye baraza ya mpemba aanze kula huko ndiyo kuingilia utamaduni wa mwenzake siyo hiyo ya kuvamiana mabarabarani na sehemu za biashara za watu kwa kigezo cha kulinda utamaduni.
It's too bad Kwa mtu kama wewe kuutambua huu ukweli ninaokueleza Kisha kuamua kuignore kuukubali,haitakuwa na maana ya kujadili Sasa.Ukweli si chuki, tatizo ni kwamba nimenyooka! Sikubaliani na unafiki.
Kuntu! kwahiyo ni makosa kusema Tanganyika inapeleka malaya. Zanzibar kama sehemu ya dunia ina malaya
Tofauti inaweza kuwa mini sketi na buibui
Ndio lakini si kwa kuchagua. Mtanganyika akila ni tatizo, Wazungu wakila poa!
Mkenya akiwa kahaba poa, Mtanganyika ni haramu
Nani anawapinga? Waweke sheria zao kama ile ya kuzuia ndizi na nyingine nyingi za kibaguzi.
Siku hizi zimezidi na kuwa kazi ya kipato. Hakuna shida ! ni kazi kama nyingine.
Tatizo ni pale Wazanzibar wanaobeba mabinti wa kizungu wakifubata ! subhanallah ! hakuna binti wa kizungu anayerudi majini mara ya pili. Wanakumbuna na yasiyoandikika hapa ! Huo ndio utamaduni wa Zanzibar!
Sasa Watanganyika si wageni! wafuate sheria. Ipo siku watakuwa wageni wetu! ipo inakuja
Nenda kamtoe ikulu Sasa!!..very poor of me kivipi?
..kwanini Watanganyika tutawaliwe na Mzanzibari?
..yaani Watanganyika mil 60+ tumekosa mtu wa kutuongoza mpaka tuletewe Mzanzibari?
Hawana sababu za kulalamika ni Wageni.Umesmkia mkenya,au mzungu,au mnyarwanda analalamika?
Chuki na Zanzibar itoke wapi? Kuna nini cha ziada. Wengine tumeamua kuitetea Tanganyika! kama ni chuki iitweNakuambia watanganyika Kwa kuwa waasisi wa hizo kelele ni nyinyi,na msingi mkubwa wa kelele zenu ni chuki tuh,hakuna kingine...
Zanzibar utaratibu huo hawajaanza Leo,sema kinachoonekana ni mazoea na generation change,kizazi Cha Sasa kinatakiwa kiambiwe ukweli wajue,hata hapo dsm nyinyi wengi wa kuja ndiyo mnaona ajabu haya mambo,ila miaka hiyo wakristo na waislam hapo dsm na mikoa mingine walikuwa wanakaa Kwa peace and harmony Tena bila kulazimishwa na yeyote yule,those days mfungo wa Ramadhan ukifika huoni bar zikifunguliwa,huoni kumbi za disco zikifunguliwa Wala live bands zozote.
sheria zisibague UbaraNa Wala siyo kwamba hao watu walikuwa wanaambiwa na waislam eti kuwa wafunge hizo biashara Zao,ni wao wenyewe tuh utashi wao na Jin's walivyokawa wanaishi na wenzao wakaona tuh waache Kwa muda,Kwa hiyari Yao,mambo yanabadilika Jins Dunia inavyobadilika,Sasa hao wakiamua kumaintain utaratibu wao Kwa wengine nyinyi basi isiwe nongwa.
Mnalishwa Bure kwani wewe hujui? Kuanzia viongozi wenu mpaka hayo mabaraza yenu pamoja na wabunge wenu wewe unafikiri Kwa mapato ya utalii yanatosha kuwalisha hao wote na kuendesha nchi? Acha ujuha tanesko tu yenyewe inawadai deni kubwa kiasi halilipiki mnakula umeme Kwa jasho la wabara Sasa mmevimbiwa mnaanza kujamba hovyohovyo Waheed nyie wapemba kwenu Oman rudini huko mkalinde utamaduni wenuMnawalisha bure au wananunua?
Zanzibar ni kisiwa, automatically ardhi Yao ya kilimo ni finyu,Sasa Cha ajabu hapo ni kipi?hiyo nayo ni hoja?
Eti watalishwa na nani,kwani mnawapa chakula bure?
Na why unazungumza as if umeambiwa hao wazanzibar ndie wameukumbatia huo muungano?au kwamba bila muungano hawataishi?mbona Kuna visiwa vingi tuh mfano Comoro hapo wanaishi na hawana muungano na nchi yyte ya bara?
Kitu kinachowasukuma makafiri wengi ni chuki tuh.,hakuna lolote la zaidi.
Still you don't get it,
Siyo suala la kusema eti jamii imeamka or otherwise,hivyo vitu viko stipulated kwenye by laws na zinaweza kuwa enforced pale inapobid utambue.
Besides,hiyo Zanzibar kuungana na wewe Tanganyika haimaanishi imepoteza legitimacy yake ya kujiamulia mambo yake,na ndiyo maana unaona Kuna mambo ya muungano na Kuna mambo siyo ya muungano,Hilo mbona Liko wazi?
Sasa unataka kupinga vipi kitu kilicho wazi na kinafahamika?
Nenda kamtoe ikulu Sasa!!
It's better for you to go,Tena ikibid ukimtoa jitangaze wewe ndie Raisi wetu na sisi bila shaka tutakutii na majeshi yatakulinda bila ya shida yoyote.
Peleka ushetani wako huko
Ondokeni na nyie kwetu, mnatulisha vibudu, eti mkristo asherekee Pasaka chumbani sababu ya ujinga wenu huko.
shida wazenj wanajiona ni waarabu wafia dini, kumbe ni mapu💩nga yamejazana kila nyumba... Yanaacha kukemea ufir🐷ji uliokithiri wanahangaika na mabadiriko ya sayansi teknolojia na nyakati za sasa. .
Hakuna alieuzuiwa kula Zanzibar, taarifa hizo mnazizua nyinyi makafiri wa huku bara,Kuna mkristo Gani au kiongozi Gani wa kikristo kasema kuwa amenyimwa uhuru wa kula au kuabudu Zanzibar?Hivi ni tangu lini ujinga na uharamia vikawa ni mila na desturi za mahali fulani? Ningemwelewa sana mzanzibari anayepambana dhidi ya kulazimishwa kula wakati amefunga. Lakini hayo ya kuwasumbua wanaokula ni uwendawazimu unaofanywa na mawakala wa shetani.
Kama Wazanzibari hawataki watu wasio wazanzibari waende Zanzibat, watangaze ili na wao wafukuzwe Duniani kote. Haiwezekani wewe uende kwenye nchi za wengine ufurahie uhuru wako wote halafu kwako ukawafanye watu kuwa mateka wa uhuru wako.
Tueleze mtannganyika alienyanyaswa Alie Zanzibar...you and your fellow Zanzibaris dont get it.
..huku Tanganyika kuna Rais Mzanzibari, halafu bila aibu mnanyanyasa na kudhalilisha Watanganyika walioko Zanzibar.