Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

..Wazanzibari wamuondoe Hussein Mtanganyika anayewatawala kimabavu.

..Na huku Tanganyika tumuondoe Samia. Haiswihi Mzanzibari atutawale Watanganyika.
Well, that's very poor from you...
 
Friends and Our Enemies,

Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.

Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...

Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.

Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.

Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.

Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.

ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.

Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.

Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.

Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Nlienda zenji bwana , kule neno " kukufira" ni kama kibwagizo cha wimbo ulio bora

Wanapend sana kutumia neno kufirana ktk maongezi yao, hadi nkauliza vp mbona kwa siku neno kufira hutumika mara nyingi kuliko neno lingine, jamaa hawakua na majibu

Sasa kwa uzi huu nmejua kumbe hii nayo ni sehemu ya utamaduni.
 
Mnawalisha bure au wananunua?

Zanzibar ni kisiwa, automatically ardhi Yao ya kilimo ni finyu,Sasa Cha ajabu hapo ni kipi?hiyo nayo ni hoja?

Eti watalishwa na nani,kwani mnawapa chakula bure?

Na why unazungumza as if umeambiwa hao wazanzibar ndie wameukumbatia huo muungano?au kwamba bila muungano hawataishi?mbona Kuna visiwa vingi tuh mfano Comoro hapo wanaishi na hawana muungano na nchi yyte ya bara?

Kitu kinachowasukuma makafiri wengi ni chuki tuh.,hakuna lolote la zaidi.
Mkuu acha ubishi fuata ushauri wawadau. Kukataza watu kula ni kuingiza mambo yanayowezekana ngazi ya familia kwenye taifa zima. Hapo mtafeli tu
 
Ondoa chuki kwanza ndipo uwe free kujadili,bila hivyo mjadala wako utakuwa unageuka kuwa emotional badala ya kutumia facts.
Ukweli si chuki, tatizo ni kwamba nimenyooka! Sikubaliani na unafiki.
Umalaya upo duniani miaka na miaka,hata mambo ya Sodomy yapo duniani zaidi ya miaka elfu kabla ya kuzaliwa kristo na Bado hadi Leo yanaendelea kiasi Cha kufikia hadi kiongozi wenu Mkuu Papa kutoa holy permit Kwa watu kuendelea na ndoa hizo .
Kuntu! kwahiyo ni makosa kusema Tanganyika inapeleka malaya. Zanzibar kama sehemu ya dunia ina malaya
Tofauti inaweza kuwa mini sketi na buibui
Nachokueleza ni kwamba Zanzibar Ina by laws zake ambazo wakazi na wageni lazima wazifuate,na hizo by laws ziko prescribed na enforced pale zisipofuatwa.
Ndio lakini si kwa kuchagua. Mtanganyika akila ni tatizo, Wazungu wakila poa!
Mkenya akiwa kahaba poa, Mtanganyika ni haramu
Sasa huwezi kuwapangia wasitekeleze eti Kwa kuhofia watalaumiwa na wewe uliekwenda huko.
Nani anawapinga? Waweke sheria zao kama ile ya kuzuia ndizi na nyingine nyingi za kibaguzi.

Hizo bikini unazosema kwani zimeanza lini?na unataka wafanyaje Nini Sasa,wachapwe viboko ndiyo uone kama juhudi hazifanyiki?
Siku hizi zimezidi na kuwa kazi ya kipato. Hakuna shida ! ni kazi kama nyingine.
Tatizo ni pale Wazanzibar wanaobeba mabinti wa kizungu wakifubata ! subhanallah ! hakuna binti wa kizungu anayerudi majini mara ya pili. Wanakumbuna na yasiyoandikika hapa ! Huo ndio utamaduni wa Zanzibar!
Wageni wanapofika wanaelezwa,na huwezi kutumia nguvu kwenye kila jambo, tambua ukweli na uukubali hata kama ni mchungu.
Sasa Watanganyika si wageni! wafuate sheria. Ipo siku watakuwa wageni wetu! ipo inakuja
 
Humo nilimo-bold!

Ikiwa ninyi Zanzibar mnamo April 1964 mlikubali ndoa na Tanganyika lakini mpo hapa leo kulilia utamaduni wenu mimi na ninyi ni nani hayo maneno ktk bold kubwa yana-apply kwake?toka mmekubali kuungana na Tanganyika tamaduni zenu (well,sizijui exactly tamaduni zenu mnazozililia) zipo/zimebaki/zilibaki ndani ya nyumba za wapemba au yeyote mkazi hapo Zanzibar ambae kiasili ni Mtanzania bila kujali ni Msambaa,Mkurya Mmakonde au yeyote muhimu afanye kile kinaihusu asili yake bila kumuudhi mwenzake.

Hayo unayaona miaka hii kwa sababu jamii imeamka,jamii ya leo siyo ile ya 70s ya ndiyo mwenyekiti ndiyo mwenyekiti sisi wa leo tunataka fact na kwa msuguano huu ni mingine itakayokuja ipo siku nduguzo boti hazitawatosha kuvuka maji kurudi hapo Kisiwani kiasi wengine watalazimika kupiga mbizi.
Still you don't get it,

Siyo suala la kusema eti jamii imeamka or otherwise,hivyo vitu viko stipulated kwenye by laws na zinaweza kuwa enforced pale inapobid utambue.

Besides,hiyo Zanzibar kuungana na wewe Tanganyika haimaanishi imepoteza legitimacy yake ya kujiamulia mambo yake,na ndiyo maana unaona Kuna mambo ya muungano na Kuna mambo siyo ya muungano,Hilo mbona Liko wazi?

Sasa unataka kupinga vipi kitu kilicho wazi na kinafahamika?
 
Friends and Our Enemies,

Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.

Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...

Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.

Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.

Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.

Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.

ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.

Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.

Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.

Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Mila za Waarabu
 
Kinachowasumbua huko ni elimu visoda kichwani!!!

Huko makabila mengi wanaishi huko na kila mmoja ana utamaduni wake vibaya kama kabila hili atenda kukaa kwenye baraza ya mpemba aanze kula huko ndiyo kuingilia utamaduni wa mwenzake siyo hiyo ya kuvamiana mabarabarani na sehemu za biashara za watu kwa kigezo cha kulinda utamaduni.
Kumkamata anayekula ambaye hakulazimishi wewe kula, ni uwendawazimu wa hali ya juu.
 
Ukweli si chuki, tatizo ni kwamba nimenyooka! Sikubaliani na unafiki.

Kuntu! kwahiyo ni makosa kusema Tanganyika inapeleka malaya. Zanzibar kama sehemu ya dunia ina malaya
Tofauti inaweza kuwa mini sketi na buibui

Ndio lakini si kwa kuchagua. Mtanganyika akila ni tatizo, Wazungu wakila poa!
Mkenya akiwa kahaba poa, Mtanganyika ni haramu

Nani anawapinga? Waweke sheria zao kama ile ya kuzuia ndizi na nyingine nyingi za kibaguzi.

Siku hizi zimezidi na kuwa kazi ya kipato. Hakuna shida ! ni kazi kama nyingine.
Tatizo ni pale Wazanzibar wanaobeba mabinti wa kizungu wakifubata ! subhanallah ! hakuna binti wa kizungu anayerudi majini mara ya pili. Wanakumbuna na yasiyoandikika hapa ! Huo ndio utamaduni wa Zanzibar!

Sasa Watanganyika si wageni! wafuate sheria. Ipo siku watakuwa wageni wetu! ipo inakuja
It's too bad Kwa mtu kama wewe kuutambua huu ukweli ninaokueleza Kisha kuamua kuignore kuukubali,haitakuwa na maana ya kujadili Sasa.

Nani kavaa bango usoni au mgongoni anapobeba mzungu au Malaya ya kwamba yeye ni mzanzibar au mtannganyika au mkenya?

Utaweza vipi kumtambua,hata wamasai kutoka Arusha now days wamejaa Zanzibar kutafuta wazungu.

Haya mmasai kaja na sime zake na visu,mfano tuh tuseme Kwa mfano Zanzibar wawe wanakataza kutembea na vifaa hivyo kwao ni hatarishi na kuamua kumzuia mmasai kisheria,unataka mmasai akikaidi aachwe Kisa eti ni uhuru wake mbona akiwa Tanganyika hasumbuliwi?

Basi kama hawezi kufuata hizi taratibu huyo mmasai na anataka uhuru basi arudi zake Tanganyika.

Dar es salaam ukitupa taka taka hovyo hakuna MTU anakufanya chochote,ila Moshi na Kigali ukitupa taka taka hovyo ukishikwa by laws zitakubana mahakamani ulipe faini au kifungo,ni utaratibu tuh.
 
..very poor of me kivipi?

..kwanini Watanganyika tutawaliwe na Mzanzibari?

..yaani Watanganyika mil 60+ tumekosa mtu wa kutuongoza mpaka tuletewe Mzanzibari?
Nenda kamtoe ikulu Sasa!!

It's better for you to go,Tena ikibid ukimtoa jitangaze wewe ndie Raisi wetu na sisi bila shaka tutakutii na majeshi yatakulinda bila ya shida yoyote.
 
Umesmkia mkenya,au mzungu,au mnyarwanda analalamika?
Hawana sababu za kulalamika ni Wageni.
Watanganyika wanasema, Wazanzibar wakitaka ardhi Tanganyika au fursa wanasema sisi ni nchi moja.
Halafu leo unawalinganisha na Wakenya au Wanyarwanda

Watanganyika wanatoa pesa nyingi sana kwa Serikali ya Zanzibar, nyingi kuliko Bajeti yao.
Leo unawalinganisha na Wanyarwanda

Ikiwa unataka Wtaanganyika wawe wageni! itakula kwao maana nusu yao wanaishi Tanganyika tena bila malipo.
Wanapata huduma kama rai wengine. Hivyo Kuna sababu Watanganyika kulalamika.

Huwezi kuwatumia kama 'toilet paper'
Nakuambia watanganyika Kwa kuwa waasisi wa hizo kelele ni nyinyi,na msingi mkubwa wa kelele zenu ni chuki tuh,hakuna kingine...
Chuki na Zanzibar itoke wapi? Kuna nini cha ziada. Wengine tumeamua kuitetea Tanganyika! kama ni chuki iitwe
Zanzibar utaratibu huo hawajaanza Leo,sema kinachoonekana ni mazoea na generation change,kizazi Cha Sasa kinatakiwa kiambiwe ukweli wajue,hata hapo dsm nyinyi wengi wa kuja ndiyo mnaona ajabu haya mambo,ila miaka hiyo wakristo na waislam hapo dsm na mikoa mingine walikuwa wanakaa Kwa peace and harmony Tena bila kulazimishwa na yeyote yule,those days mfungo wa Ramadhan ukifika huoni bar zikifunguliwa,huoni kumbi za disco zikifunguliwa Wala live bands zozote.

Naikiwa mtu wa Pwani nakubaliana nawe. Tatizo ni pale yule mtu aliyekula Zanzibar alikuwa anaadhibiwa kwa UBARA.
'' hayo mambo ni ya bara, huyu ni bara' na kila aina ya tusi kana kwamba Ubara ndio umemtuma mtu ale.
Lakini pia mtu aliyeadhibiwa ni kwa UBARA, Wazungu, Wakenya wakila sawa. Hapo ndipo chuki inapoanza

Kumwadhibu mtu kwa UBARA ni chuki ndiyo inawatibua Watanganyika.
Na Wala siyo kwamba hao watu walikuwa wanaambiwa na waislam eti kuwa wafunge hizo biashara Zao,ni wao wenyewe tuh utashi wao na Jin's walivyokawa wanaishi na wenzao wakaona tuh waache Kwa muda,Kwa hiyari Yao,mambo yanabadilika Jins Dunia inavyobadilika,Sasa hao wakiamua kumaintain utaratibu wao Kwa wengine nyinyi basi isiwe nongwa.
sheria zisibague Ubara
 
Mnawalisha bure au wananunua?

Zanzibar ni kisiwa, automatically ardhi Yao ya kilimo ni finyu,Sasa Cha ajabu hapo ni kipi?hiyo nayo ni hoja?

Eti watalishwa na nani,kwani mnawapa chakula bure?

Na why unazungumza as if umeambiwa hao wazanzibar ndie wameukumbatia huo muungano?au kwamba bila muungano hawataishi?mbona Kuna visiwa vingi tuh mfano Comoro hapo wanaishi na hawana muungano na nchi yyte ya bara?

Kitu kinachowasukuma makafiri wengi ni chuki tuh.,hakuna lolote la zaidi.
Mnalishwa Bure kwani wewe hujui? Kuanzia viongozi wenu mpaka hayo mabaraza yenu pamoja na wabunge wenu wewe unafikiri Kwa mapato ya utalii yanatosha kuwalisha hao wote na kuendesha nchi? Acha ujuha tanesko tu yenyewe inawadai deni kubwa kiasi halilipiki mnakula umeme Kwa jasho la wabara Sasa mmevimbiwa mnaanza kujamba hovyohovyo Waheed nyie wapemba kwenu Oman rudini huko mkalinde utamaduni wenu
 
Still you don't get it,

Siyo suala la kusema eti jamii imeamka or otherwise,hivyo vitu viko stipulated kwenye by laws na zinaweza kuwa enforced pale inapobid utambue.

Besides,hiyo Zanzibar kuungana na wewe Tanganyika haimaanishi imepoteza legitimacy yake ya kujiamulia mambo yake,na ndiyo maana unaona Kuna mambo ya muungano na Kuna mambo siyo ya muungano,Hilo mbona Liko wazi?

Sasa unataka kupinga vipi kitu kilicho wazi na kinafahamika?

..you and your fellow Zanzibaris dont get it.

..huku Tanganyika kuna Rais Mzanzibari, halafu bila aibu mnanyanyasa na kudhalilisha Watanganyika walioko Zanzibar.
 
Nenda kamtoe ikulu Sasa!!

It's better for you to go,Tena ikibid ukimtoa jitangaze wewe ndie Raisi wetu na sisi bila shaka tutakutii na majeshi yatakulinda bila ya shida yoyote.

..aondoke mwenyewe toka Ikulu ya Watanganyika maana nyinyi Wazanzibari ni wastaarabu na waungwana.
 
Peleka ushetani wako huko

Ile ni nchi ya kiislamu, na sio nchi ya kikafiri, hivyo usilazimishe wafuate mila zenu

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
 
Ondokeni na nyie kwetu, mnatulisha vibudu, eti mkristo asherekee Pasaka chumbani sababu ya ujinga wenu huko.

Hivi serikali ikiamua ifanye sensa ya DINI aise utakimbia huu uzi, hata hii comment yako utaifuta mlivyo wachache, basi tu Uislamu ni dini ya amani na huruma, ingelikua nchi hii haina waislamu sijui kama wewe au katika familia yenu mgebaki salama. Refer Congo, rwanda na south afrika ambapo waislamu ni wachache, halafu mnaleta jeuri na kibri.
 
shida wazenj wanajiona ni waarabu wafia dini, kumbe ni mapu💩nga yamejazana kila nyumba... Yanaacha kukemea ufir🐷ji uliokithiri wanahangaika na mabadiriko ya sayansi teknolojia na nyakati za sasa. .

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
 
Hivi ni tangu lini ujinga na uharamia vikawa ni mila na desturi za mahali fulani? Ningemwelewa sana mzanzibari anayepambana dhidi ya kulazimishwa kula wakati amefunga. Lakini hayo ya kuwasumbua wanaokula ni uwendawazimu unaofanywa na mawakala wa shetani.

Kama Wazanzibari hawataki watu wasio wazanzibari waende Zanzibat, watangaze ili na wao wafukuzwe Duniani kote. Haiwezekani wewe uende kwenye nchi za wengine ufurahie uhuru wako wote halafu kwako ukawafanye watu kuwa mateka wa uhuru wako.
Hakuna alieuzuiwa kula Zanzibar, taarifa hizo mnazizua nyinyi makafiri wa huku bara,Kuna mkristo Gani au kiongozi Gani wa kikristo kasema kuwa amenyimwa uhuru wa kula au kuabudu Zanzibar?

Makafiri wa bara kinachowasumbua ni chuki tuh,ukitaka kwenda Zanzibar sharti ufuate taratibu za kule,hutaki bakia kwenu mbulu huko,kwani kila MTU SI ana kwao?shida nini.
 
..you and your fellow Zanzibaris dont get it.

..huku Tanganyika kuna Rais Mzanzibari, halafu bila aibu mnanyanyasa na kudhalilisha Watanganyika walioko Zanzibar.
Tueleze mtannganyika alienyanyaswa Alie Zanzibar.

Na huyu Rais mzanzibar aliepo huku bara,why unaumia Sasa akiwa Rais mbona alipokawa makamu wa Rais ulikuwa kimya?

Vipi inakuchoma choma?
 
Back
Top Bottom