Zanzibar na ndizi za mjane!

Zanzibar na ndizi za mjane!

Wabongo mnapenda kupotosha. Zanzibar kuna karantini ya ndizi haziruhusiwi kuingizwa na hilo liko wazi. Mbona viazi mbatata, keroti, nyanya tungule, vitunguu maji, thomu, tangawizi, matango, matikiti ,mananasi kutoka bara yanaingia kila kukicha zanzibar.? Acheni upotoshaji.

Kwa kumalizia maji ya chupa ya kutoka bara yanaingia Zanzibar ila maji ya Zanzibar hayaruhusiwi kuingia bara. Bladibasket bol nyie
Nyinyi wazanzibari hamna tofauti
na kupe/parasites. Sijui ni lini mtajitegemea kwa 100%!

Watanganyika tumechoka sasa kuwalea mijitu mizima na midevu yenu.

Imagine mnapewa ukuu wa Wilaya, uwaziri, ubunge, nk kwenye serikali ya Tanganyika! Umeme wetu mnauziwa kwa bei mbuzi! Mnamiliki ardhi bure! Wakati tunawatendea wema, nyinyi mmejaa ubaguzi! Na kila siku ni kudeka deka tu kama watoto wadogo!
 
It's about time that the so called T(MAINLAND Isles)should cease.
 
...
Isitoshe kama kulikuwa na hilo katazo tangazo lilitolewa?
Tangazo lilitolewa miaka nadhani miwili iliyopita but hapa siyo tangazo bali wametumia mwanya wa tangazo na ugonjwa kumkandamiza huyo mama.

Pamoja na wao kusema Zanzibar inajitosheleza kwa ndizi, bado zao la ndizi za zanzibar siyo bora kama za bara, huko hawalimi migomba kama biashara bali ni kama bustani.

Alafu ndizi ya Unguja siyo bora na nzuri kama zilivyo ndizi kutoka Mbeya, Morogoro, Moshi au Mto wa mbu.

Pale mto wa mbu unakuta kuna maroli yanapakia ndizi kupeleka Kenya ila sijawahi sikia pale boarder zikizuiwa kuwa na ugonjwa.

Ukweli hawa wanyamwezi na wasukuma waliopelekwa visiwani kisha kuzalishwa na waarabu na kujimilikisha leo wanajipa umangimeza kwa kujeruhi ndg zao kweli!.
 
Moja kati ya habari iliyo nipa kero sana jana ni hii habari ya kukataliwa ndizi kutoka Tanzania Bara kwenda huko Zanzibar. Nisitake sana kuongelea huyu mama mjane wa kikiristo bali niongelee makosa yanayofanyika kwenye muungano. Biashara yetu ni jambo la muhimu san amaana ni jambo ambalo linadumisha muungano wao na wale nasio sisi. Tangu awamu hii kumekuwepo hisia zisizo nzuri kati ya waliopotea Tanganyika na ndugu zao wa zamani wa Zanzibar. Watu wa Zanzibar kwasasa wanajiona na kujichukulia wao ndiyo wapo juu na sahihi kufanya au kupata chochote wakitakacho nasio waliopotea wale wa Tanganyika.
Kazi ni kwenu viongozi, ebu zibeni hizi nyufa kabla ukuita aujadondoka au kuanguka.
 
Hixo nyanya umeonyeshwa, au maboya tu ya kujenga jungu?
Huyo mama kama mfanya biashara mzoefu wa mazao ya kilimo aka produce kati ya Bara na Zanzibar lazima alijua ndizi kutoka bara haziruhusiwi Zanzibar, ndiyo maana alizificha.
 
Huyo mama kama mfanya biashara mzoefu wa mazao ya kilimo aka produce kati ya Bara na Zanzibar lazima alijua ndizi kutoka bara haziruhusiwi Zanzibar, ndiyo maana alizificha.
Haijaonyeshwa alivyizificha, hizo ni allegations.
Picha za ndizi tumeona, picha za nyanya juu ya ndizi ziwapi?
 
Tuonyeshe picha za ndizi za mjane mkuu.
2xyAm8EVZSft-7JF.jpeg.jpg

Wanasema ziliwekwa nyanya juu wakati wa kupekua ndizi, kwenye picha hazionekani.
 
Walio karibu na mama tunaomb number yake tumchangia mama huyo kurudisha mtaji wake wa ndizi..hatuwezi kukubali dhuruma kwa mam mjane
Nadhani inabidi kurudi kwenye ile 'source' ya mwanzo, iliyoleta taarifa hii JF. Maana huku ni maneno tu hakuna anayejihusisha na kutafuta taarifa zaidi kuhusu huyo mama.
 
Nadhani inabidi kurudi kwenye ile 'source' ya mwanzo, iliyoleta taarifa hii JF. Maana huku ni maneno tu hakuna anayejihusisha na kutafuta taarifa zaidi kuhusu huyo mama.
Tunaenda na implications za kisiasa, tunakokwenda si kuzuri.
 
Kuna dalili za wazi kuwa huyu Mwinyi ana style ya uongozi kama bwana yule. Mungu saidia asije kuwa Rais wa Muungano, vinginevyo mtasaga meno.
 
Pamoja na kumsapoti mama Samia, masuala haya ya unafiki wa wazi yaakera sana.
Inabidi huyo mama wamrudishie mtaji wake.
Shida iko kwa yule jamaa wa mkuranga aliyepewa jimbo la visiwani. Ana akili za roho mbaya kama mwendazake. Si umeona hata kauli yake ya kuzuia uuzaji wa vyakula nje ya Zanzibar, akipingana na sera za Serikali ya Samia. Sasa jiulize Zanzibar tangu lini wamekuwa wazalishaji wa mahindi au mchele wa kuuza nje hata wazuie. Ni cheap popularity tu yule jamaa na msiombe awe No.1, mtasaga meno kama enzi ya jiwe.
 
Masuala hayana mwisho mzuri kisiasa.
 
Back
Top Bottom