Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi wazanzibari hamna tofautiWabongo mnapenda kupotosha. Zanzibar kuna karantini ya ndizi haziruhusiwi kuingizwa na hilo liko wazi. Mbona viazi mbatata, keroti, nyanya tungule, vitunguu maji, thomu, tangawizi, matango, matikiti ,mananasi kutoka bara yanaingia kila kukicha zanzibar.? Acheni upotoshaji.
Kwa kumalizia maji ya chupa ya kutoka bara yanaingia Zanzibar ila maji ya Zanzibar hayaruhusiwi kuingia bara. Bladibasket bol nyie
Tangazo lilitolewa miaka nadhani miwili iliyopita but hapa siyo tangazo bali wametumia mwanya wa tangazo na ugonjwa kumkandamiza huyo mama....
Isitoshe kama kulikuwa na hilo katazo tangazo lilitolewa?
Hixo nyanya umeonyeshwa, au maboya tu ya kujenga jungu?Kwanini alizificha ndizi chini ya mzigo wa nyanya?
Huyo mama kama mfanya biashara mzoefu wa mazao ya kilimo aka produce kati ya Bara na Zanzibar lazima alijua ndizi kutoka bara haziruhusiwi Zanzibar, ndiyo maana alizificha.Hixo nyanya umeonyeshwa, au maboya tu ya kujenga jungu?
Haijaonyeshwa alivyizificha, hizo ni allegations.Huyo mama kama mfanya biashara mzoefu wa mazao ya kilimo aka produce kati ya Bara na Zanzibar lazima alijua ndizi kutoka bara haziruhusiwi Zanzibar, ndiyo maana alizificha.
Tuonyeshe picha za ndizi za mjane mkuu.Haijaonyeshwa alivyizificha, hizo ni allegations.
Picha za ndizi tumeona, picha za nyanya juu ya ndizi ziwapi?
Tuonyeshe picha za ndizi za mjane mkuu.
Nadhani inabidi kurudi kwenye ile 'source' ya mwanzo, iliyoleta taarifa hii JF. Maana huku ni maneno tu hakuna anayejihusisha na kutafuta taarifa zaidi kuhusu huyo mama.Walio karibu na mama tunaomb number yake tumchangia mama huyo kurudisha mtaji wake wa ndizi..hatuwezi kukubali dhuruma kwa mam mjane
Umenena mkuu!Hicho ni kiburi tu kisa Rais wa Muungano ni Mzanzibari.
Tunaenda na implications za kisiasa, tunakokwenda si kuzuri.Nadhani inabidi kurudi kwenye ile 'source' ya mwanzo, iliyoleta taarifa hii JF. Maana huku ni maneno tu hakuna anayejihusisha na kutafuta taarifa zaidi kuhusu huyo mama.
Shida iko kwa yule jamaa wa mkuranga aliyepewa jimbo la visiwani. Ana akili za roho mbaya kama mwendazake. Si umeona hata kauli yake ya kuzuia uuzaji wa vyakula nje ya Zanzibar, akipingana na sera za Serikali ya Samia. Sasa jiulize Zanzibar tangu lini wamekuwa wazalishaji wa mahindi au mchele wa kuuza nje hata wazuie. Ni cheap popularity tu yule jamaa na msiombe awe No.1, mtasaga meno kama enzi ya jiwe.Pamoja na kumsapoti mama Samia, masuala haya ya unafiki wa wazi yaakera sana.
Inabidi huyo mama wamrudishie mtaji wake.
Masuala hayana mwisho mzuri kisiasa.Shida iko kwa yule jamaa wa mkuranga aliyepewa jimbo la visiwani. Ana akili za roho mbaya kama mwendazake. Si umeona hata kauli yake ya kuzuia uuzaji wa vyakula nje ya Zanzibar, akipingana na sera za Serikali ya Samia. Sasa jiulize Zanzibar tangu lini wamekuwa wazalishaji wa mahindi au mchele wa kuuza nje hata wazuie. Ni cheap popularity tu yule jamaa na msiombe awe No.1, mtasaga meno kama enzi ya jiwe.