Ukiona unanyimwa haki ya kuabudu huko Zenji rudi kwenu Bara, Sisi WATANGANYIKA ni wakorofi na always tunalazimisha sana tamaduni zenu zikubalike kule.
Wale jamaa ni waislam kwa 99.9% unataka waendeshe nchi yao kwa taratibu za VATICAN?
Mtaumia, niseme wazi hakuna watu wenye ushirikiano kwenye masuala hayo ya Dini kama hao waislam. Ikitokea Dini tofauti na wao wakawafanyia vurugu wenzao, hata kama ni Suni na Shia hao jamaa wataungana na utaumia.
Mnapoamua kutetea kitu chochote msiishie kwenye Sheria za ndani ya nchi tu, angalieni pia imani za watu.
Hizi dharau kwa Wazanzibar niwaambieni ziwe kwenye masuala ya ajira, umiliki wa Ardhi nk, mkijaribu kuweka kwenye mlengo huu wa Kidini basi ugomvi huo mtapigana na waislam wa Tanzania nzima na sio Zanzibar kwa kigezo cha kuwaonea waislam wenzao.
Jengeni hoja za Zanzibar kwa muktadha wa Ajira, Elimu, Umeme nk msijenge kwa mlengo wa Dini, hamtoungwa mkono na waislam wa Bara.
USHAURI WANGU NI HUO.