TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Tena siku hizi wanaacha maspika wazi kusikie mpaka wanachoswali nadhani hii si sawa Kwa sababu kuna watu hayawahusuUnawajua wale wa makelele kila alfajiri ya kila siku?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena siku hizi wanaacha maspika wazi kusikie mpaka wanachoswali nadhani hii si sawa Kwa sababu kuna watu hayawahusuUnawajua wale wa makelele kila alfajiri ya kila siku?
Huyu mwanaJF ni mzushi!Vatican Hakuna makazi ya raia yeyote
Tanga hakuna kudhuriana kisa dini.Aliyekuambia Zanzibar hawana akili timamu ni nani? Dharau zenu ndio maana mnamwagiwa tindikali boya wewe. Kwahiyo tofauti ya TANGA na ZANZIBAR ni nini?
Kwa nini mtu mwenye akili timamu uchane msaafu? Kwa nini?Basi tulia uoneshwe, ww unadhani waislam wa Zanzibar wana tofauti na wa Dar, Tanga, Moro au Mtwara, au Tabora na Kigoma? Jichanganye maana huna akili kichwani.
Usichokijua Waislam wote mlengo wao huwa ni mmoja, we jaribu hata huko uliko chana tu Msahafu, hata kama uko Mbeya we jaribu kuchana ndio utajua hao Waislam wanafanana na wamejaa Zaidi hapa Tanzania.
Shida yako umesahau kwenye uislam dini yao ndio ya haki, na bora, na kwamba kwa wao hakuna Dini nyingine ya Mwenyezi Mungu isipokuwa Uislam.
Muislam hata awe mlevi wa kiwango gani, ila mbele yake jaribu kuchana Ukurasa hata wa Juzuu utakuja kuleta mrejesho hapa.
Unaingiza siasa kwenye Uislam? Mkuu utaumia, we jiheshimu, heshimu taratibu zao, huwezi wapigiza kelele usiku kucha eti unaabudu, Zanzibar ni nchi kama ilivyo, ENGLAND, WALES, SCOTLAND ndani ya UK.
Usiwaletee vitu vyako vya kipumbavu eti haki, haki, haki. Haki unaijua wewe?
Kama Zanzibar wanakubana hamia MBINGA huko, NGURUWE anafugwa kama kuku wa mtaani, yaan anaachwa ajitafutie chakula na huko hata Msikiti unaweza usiuone kabisa kwa maeneo hasa ya Vijijini.
Aliyemuumba nguruwe na aliyekuumba wewe ni Nani, si huyo huyo? Uamuzi wa Kula au kutokula kitu ni wako binafsi!Basi tulia uoneshwe, ww unadhani waislam wa Zanzibar wana tofauti na wa Dar, Tanga, Moro au Mtwara, au Tabora na Kigoma? Jichanganye maana huna akili kichwani.
Usichokijua Waislam wote mlengo wao huwa ni mmoja, we jaribu hata huko uliko chana tu Msahafu, hata kama uko Mbeya we jaribu kuchana ndio utajua hao Waislam wanafanana na wamejaa Zaidi hapa Tanzania.
Shida yako umesahau kwenye uislam dini yao ndio ya haki, na bora, na kwamba kwa wao hakuna Dini nyingine ya Mwenyezi Mungu isipokuwa Uislam.
Muislam hata awe mlevi wa kiwango gani, ila mbele yake jaribu kuchana Ukurasa hata wa Juzuu utakuja kuleta mrejesho hapa.
Unaingiza siasa kwenye Uislam? Mkuu utaumia, we jiheshimu, heshimu taratibu zao, huwezi wapigiza kelele usiku kucha eti unaabudu, Zanzibar ni nchi kama ilivyo, ENGLAND, WALES, SCOTLAND ndani ya UK.
Usiwaletee vitu vyako vya kipumbavu eti haki, haki, haki. Haki unaijua wewe?
Kama Zanzibar wanakubana hamia MBINGA huko, NGURUWE anafugwa kama kuku wa mtaani, yaan anaachwa ajitafutie chakula na huko hata Msikiti unaweza usiuone kabisa kwa maeneo hasa ya Vijijini.
kichwa majiWanayachoma wenyewe hili balaa kiingie watu wapigwe na polisi watu wakafie jela lakini ubaya huo utawaludia wao
"Unaingiza siasa kwenye Uislam? Mkuu utaumia, we jiheshimu, heshimu taratibu zao, huwezi wapigiza kelele usiku kucha eti unaabudu, Zanzibar ni nchi kama ilivyo, ENGLAND, WALES, SCOTLAND ndani ya UK."Basi tulia uoneshwe, ww unadhani waislam wa Zanzibar wana tofauti na wa Dar, Tanga, Moro au Mtwara, au Tabora na Kigoma? Jichanganye maana huna akili kichwani.
Usichokijua Waislam wote mlengo wao huwa ni mmoja, we jaribu hata huko uliko chana tu Msahafu, hata kama uko Mbeya we jaribu kuchana ndio utajua hao Waislam wanafanana na wamejaa Zaidi hapa Tanzania.
Shida yako umesahau kwenye uislam dini yao ndio ya haki, na bora, na kwamba kwa wao hakuna Dini nyingine ya Mwenyezi Mungu isipokuwa Uislam.
Muislam hata awe mlevi wa kiwango gani, ila mbele yake jaribu kuchana Ukurasa hata wa Juzuu utakuja kuleta mrejesho hapa.
Unaingiza siasa kwenye Uislam? Mkuu utaumia, we jiheshimu, heshimu taratibu zao, huwezi wapigiza kelele usiku kucha eti unaabudu, Zanzibar ni nchi kama ilivyo, ENGLAND, WALES, SCOTLAND ndani ya UK.
Usiwaletee vitu vyako vya kipumbavu eti haki, haki, haki. Haki unaijua wewe?
Kama Zanzibar wanakubana hamia MBINGA huko, NGURUWE anafugwa kama kuku wa mtaani, yaan anaachwa ajitafutie chakula na huko hata Msikiti unaweza usiuone kabisa kwa maeneo hasa ya Vijijini.
Kusali kwa sauti ya spika ni MAKELELE... Na adhana ya asubuhi saa kumi nayo ni MAKELELE vilevile.Sasa kukesha unasali kwa makelele huoni unawabughudhi wengine? Tumia kipaza sauti wakati wa unaita watu au unasali, lkn usiku wote, mchana wote wewe Ni nyimbo, na makelele?
Lazima mjitafakari pia.
Sasa kama wanaonesha chuki mbona unasema tena wanaficha??Kometi zenu zinaonyesha hivio chuki chuki ulipa hapo unachukia waisilamu nusu upasuke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahKwa kuongezea, unapitaka kuvunja basi na mikoa ya TANGA, DAR, LINDI, MTWARA, MOROGORO, MANYARA, PWANI, DODOMA, SINGIDA YOTE IWEKWE UPANDE WA ZANZIBAR. Hiyo mikoa ina karibu tabia za huko Zenji pia.
Misaada ilishakoma,tisini kurudi nyuma huko misaada ilikua mingi,wazungu dini imebaki kwa wazee,vijana hela zao wanakula wenyewe,maana dini yenyewe wameona haieleweki,ndiyo maana katoliki wanachoma maandazi,kuoka mikate na michango mingiUngejua hao wanglikana wanavyopata misaada na ufadhili kutoka Uingereza hata usingeandika haya
Ukristu haujaanzia ulaya sheheMisaada ilishakoma,tisini kurudi nyuma huko misaada ilikua mingi,wazungu dini imebaki kwa wazee,vijana hela zao wanakula wenyewe,maana dini yenyewe wameona haieleweki,ndiyo maana katoliki wanachoma maandazi,kuoka mikate na michango mingi
Ukiristu dini ya kizungu,na ndiyo walioieneza,bila wao sehemu kubwa ya dunia ingekua upagani na uislam,biblia unayotumia ilihaririwa na mfalme James wa uingereza kwa manufaa yakeUkristu haujaanzia ulaya shehe
Fuatilia mambo,hapakua na muisrael mkiristuTatizo unajibu kimihemko sana
Umeanzia wapi!?Ukristu haujaanzia ulaya shehe
Ukristu unasafiri ni kama Sasa hivi useme kwa uislamu unamilikiwa na wazanzibari na sio wahaya maana kabla ya kuja Tanganyika ulianzia huko kwenuUkiristu dini ya kizungu,na ndiyo walioieneza,bila wao sehemu kubwa ya dunia ingekua upagani na uislam,biblia unayotumia ilihaririwa na mfalme James wa uingereza kwa manufaa yake