Zanzibar: Ndani ya Maji Marefu ya Mateso ya Wakristo

Aliyekuambia Zanzibar hawana akili timamu ni nani? Dharau zenu ndio maana mnamwagiwa tindikali boya wewe. Kwahiyo tofauti ya TANGA na ZANZIBAR ni nini?
Tanga hakuna kudhuriana kisa dini.
 
Basi tulia uoneshwe, ww unadhani waislam wa Zanzibar wana tofauti na wa Dar, Tanga, Moro au Mtwara, au Tabora na Kigoma? Jichanganye maana huna akili kichwani.

Usichokijua Waislam wote mlengo wao huwa ni mmoja, we jaribu hata huko uliko chana tu Msahafu, hata kama uko Mbeya we jaribu kuchana ndio utajua hao Waislam wanafanana na wamejaa Zaidi hapa Tanzania.

Shida yako umesahau kwenye uislam dini yao ndio ya haki, na bora, na kwamba kwa wao hakuna Dini nyingine ya Mwenyezi Mungu isipokuwa Uislam.

Muislam hata awe mlevi wa kiwango gani, ila mbele yake jaribu kuchana Ukurasa hata wa Juzuu utakuja kuleta mrejesho hapa.

Unaingiza siasa kwenye Uislam? Mkuu utaumia, we jiheshimu, heshimu taratibu zao, huwezi wapigiza kelele usiku kucha eti unaabudu, Zanzibar ni nchi kama ilivyo, ENGLAND, WALES, SCOTLAND ndani ya UK.

Usiwaletee vitu vyako vya kipumbavu eti haki, haki, haki. Haki unaijua wewe?

Kama Zanzibar wanakubana hamia MBINGA huko, NGURUWE anafugwa kama kuku wa mtaani, yaan anaachwa ajitafutie chakula na huko hata Msikiti unaweza usiuone kabisa kwa maeneo hasa ya Vijijini.
Kwa nini mtu mwenye akili timamu uchane msaafu? Kwa nini?
Kwa nini uwakwaze wanadamu wenzako katika suala la imani yao? Kwa nini?
Ndugu acha fikra potofu!
 
Basi tulia uoneshwe, ww unadhani waislam wa Zanzibar wana tofauti na wa Dar, Tanga, Moro au Mtwara, au Tabora na Kigoma? Jichanganye maana huna akili kichwani.

Usichokijua Waislam wote mlengo wao huwa ni mmoja, we jaribu hata huko uliko chana tu Msahafu, hata kama uko Mbeya we jaribu kuchana ndio utajua hao Waislam wanafanana na wamejaa Zaidi hapa Tanzania.

Shida yako umesahau kwenye uislam dini yao ndio ya haki, na bora, na kwamba kwa wao hakuna Dini nyingine ya Mwenyezi Mungu isipokuwa Uislam.

Muislam hata awe mlevi wa kiwango gani, ila mbele yake jaribu kuchana Ukurasa hata wa Juzuu utakuja kuleta mrejesho hapa.

Unaingiza siasa kwenye Uislam? Mkuu utaumia, we jiheshimu, heshimu taratibu zao, huwezi wapigiza kelele usiku kucha eti unaabudu, Zanzibar ni nchi kama ilivyo, ENGLAND, WALES, SCOTLAND ndani ya UK.

Usiwaletee vitu vyako vya kipumbavu eti haki, haki, haki. Haki unaijua wewe?

Kama Zanzibar wanakubana hamia MBINGA huko, NGURUWE anafugwa kama kuku wa mtaani, yaan anaachwa ajitafutie chakula na huko hata Msikiti unaweza usiuone kabisa kwa maeneo hasa ya Vijijini.
Aliyemuumba nguruwe na aliyekuumba wewe ni Nani, si huyo huyo? Uamuzi wa Kula au kutokula kitu ni wako binafsi!
Mnamfanya kama Mungu hana akili kwa kuumba viumbe wake. Kama nguruwe ni haramu kiasi hicho, kwa nini aliumbwa? Uharamu wa nguruwe unauzidi uharamu wa binadamu? Kama huu unaotokea huko Zanzibar?
 
Basi tulia uoneshwe, ww unadhani waislam wa Zanzibar wana tofauti na wa Dar, Tanga, Moro au Mtwara, au Tabora na Kigoma? Jichanganye maana huna akili kichwani.

Usichokijua Waislam wote mlengo wao huwa ni mmoja, we jaribu hata huko uliko chana tu Msahafu, hata kama uko Mbeya we jaribu kuchana ndio utajua hao Waislam wanafanana na wamejaa Zaidi hapa Tanzania.

Shida yako umesahau kwenye uislam dini yao ndio ya haki, na bora, na kwamba kwa wao hakuna Dini nyingine ya Mwenyezi Mungu isipokuwa Uislam.

Muislam hata awe mlevi wa kiwango gani, ila mbele yake jaribu kuchana Ukurasa hata wa Juzuu utakuja kuleta mrejesho hapa.

Unaingiza siasa kwenye Uislam? Mkuu utaumia, we jiheshimu, heshimu taratibu zao, huwezi wapigiza kelele usiku kucha eti unaabudu, Zanzibar ni nchi kama ilivyo, ENGLAND, WALES, SCOTLAND ndani ya UK.

Usiwaletee vitu vyako vya kipumbavu eti haki, haki, haki. Haki unaijua wewe?

Kama Zanzibar wanakubana hamia MBINGA huko, NGURUWE anafugwa kama kuku wa mtaani, yaan anaachwa ajitafutie chakula na huko hata Msikiti unaweza usiuone kabisa kwa maeneo hasa ya Vijijini.
"Unaingiza siasa kwenye Uislam? Mkuu utaumia, we jiheshimu, heshimu taratibu zao, huwezi wapigiza kelele usiku kucha eti unaabudu, Zanzibar ni nchi kama ilivyo, ENGLAND, WALES, SCOTLAND ndani ya UK."

Kwa nini mnakaribisha wageni? Mnajenga mahoteli, majumba na kuvutia watalii/wawekezaji. Kwa kufanya haya ninyi wenyewe mnaingiza siasa kwenye Uislam! Wekeni wazi kuwa nyie ni nchi ya kiislam, ukiamua kuja, fuata hili na lile!
 
Sasa kukesha unasali kwa makelele huoni unawabughudhi wengine? Tumia kipaza sauti wakati wa unaita watu au unasali, lkn usiku wote, mchana wote wewe Ni nyimbo, na makelele?

Lazima mjitafakari pia.
Kusali kwa sauti ya spika ni MAKELELE... Na adhana ya asubuhi saa kumi nayo ni MAKELELE vilevile.
 
Waislamu ulinzi wao Allah kasema ni mapepo , alafu uweke kanisa uwe unayakemea ! Yatawapanda na watakuja kuleta fujo

Msome Allah

Allah anasema , “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814
 
Kwa kuongezea, unapitaka kuvunja basi na mikoa ya TANGA, DAR, LINDI, MTWARA, MOROGORO, MANYARA, PWANI, DODOMA, SINGIDA YOTE IWEKWE UPANDE WA ZANZIBAR. Hiyo mikoa ina karibu tabia za huko Zenji pia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Ungejua hao wanglikana wanavyopata misaada na ufadhili kutoka Uingereza hata usingeandika haya
Misaada ilishakoma,tisini kurudi nyuma huko misaada ilikua mingi,wazungu dini imebaki kwa wazee,vijana hela zao wanakula wenyewe,maana dini yenyewe wameona haieleweki,ndiyo maana katoliki wanachoma maandazi,kuoka mikate na michango mingi
 
Ukristu haujaanzia ulaya shehe
 
Ukristu haujaanzia ulaya shehe
Ukiristu dini ya kizungu,na ndiyo walioieneza,bila wao sehemu kubwa ya dunia ingekua upagani na uislam,biblia unayotumia ilihaririwa na mfalme James wa uingereza kwa manufaa yake
 
Tatizo unajibu kimihemko sana
 
Ukiristu dini ya kizungu,na ndiyo walioieneza,bila wao sehemu kubwa ya dunia ingekua upagani na uislam,biblia unayotumia ilihaririwa na mfalme James wa uingereza kwa manufaa yake
Ukristu unasafiri ni kama Sasa hivi useme kwa uislamu unamilikiwa na wazanzibari na sio wahaya maana kabla ya kuja Tanganyika ulianzia huko kwenu
 
Back
Top Bottom