Little too late, wazanzibari sio leo tuu kwenye uchaguzi. Tuko occupied tokea siku ya muungano! Nikupe mfano tuu, utasafiri Dar hadi Moshi hupiti road-block, ukisafiri Zanzibar km kila baada ya 10km road-block !
Sidhani kama nahitaji kutoa mifano zaidi, lakini tazama icho kichapo kinachotolewa na vyombo vya dola jeshi na polisi dhidi ya wazanzibari. Nakumbuka nilipokuwa mdogo nilienda kambini kumtembelea mzee (jeshi/jwtz), basi mlangoni kuingia kambini nilikutana na mtanganyika akanitolea maneno hapo ya kunisimanga.
Kwa bahati nilikuwa mtoto mdogo sikumfahamu hadi sasa nishakuwa mtu, ndio nafahamu udugu wa damu baina ya Zanzibar na Tanganyika!
Sio kwa Zanzibar kiongozi, kinachoendelea Zanzibar ni wazi kwamba hawapo tayari kuyakubali matokeo ambayo yataonyesha CCM kushinda. Na hii ni kutokana na kuwepo kwa dalili ama viashiria vya uhujumu wa uchaguziNinavyojua mimi, CCM itashinda Bara na Zanzibar na pande zote za muungano zitaendelea kuwa salama na zenye amani chini ya Serikali za Chama cha Mapinduzi!
Watu wanapotaka HAKI si mahali pa kuwapeleka Majeshi peleka HAKIAcha ilipuke. Itapozwa na itatulia. Wapiga kura laki tano. Brigedi ya nyuki inatosha. Ikiletwa nyongeza ya tembo wanazama .Wasijaribu kwani kamanda hajaribiwi
Naona ushaweka tayar passport na viza yako wengine wanapoumia nyie mko ready to flyHakuna namna yoyote ya kufanya , Liwalo na liwe ili heshima irudi
Mkuu utabiri wako utajidhihiri ndani ya siku mbili tatu zijazo. Tusubiri.sio kwa Zanzibar kiongozi.... kinachoendelea Zanzibar ni wazi kwamba hawapo tayari kuyakubali matokeo ambayo yataonyesha CCM kushinda... na hii ni kutokana na kuwepo kwa Dalili ama viashiria vya uhujumu wa uchaguzi
Hakuna Haki isiyo na Wajibu! Pia kumbuka Haki yako inaishia pale Haki ya mwenzako inapoanzia!!Wewe jamaa kuandamana ni haki ya kikatiba. Ngoja tuchukue nchi j5 saa 4 asubuhi
Nikuambie Mara ngapi boss ndo uelewe?,watua sa hii hawaogopi kufa,maana hawana cha kupoteza kwao Leo heri ya Jana.Andamana tu ili upate zawadi yako
Uko eneo gani hapa TZ ilitujue kama kweli huogopi?Nikuambie Mara ngapi boss ndo uelewe?,watua sa hii hawaogopi kufa,maana hawana cha kupoteza kwao Leo heri ya Jana.