Zanzibar ni nchi huru au ni sehemu ya Tanzania?

Kwahiyo wewe unataka kusema Sultan Seyyid Said na Jamshid (waarabu) wana common culture, history and language na wabantu wakina Karume ???
 
JALA hairuhusu sheria za kidini, bali inaruhusu na kutambua matumizi ya sheria za kimila, miongoni mwa mengine.
Bwahahahaha! Kwenye JALA Customary Law encompasses Religious laws, like Islamic/Mohamedan Law. Hili naona limekupita kabisa, lakini utaelewa taratibu.

Halafu ni hivi, matumizi ya jina 'Vatican' au 'Holy Sea' hutumika kumaanisha 'Mamlaka Kuu ya Kanisa Katoliki' kwa hiyo sidhani kama ni kitu cha kibishania, that's how it is.
MWONGO WEWE. The Holly See na The Vatican City are two separate legal entities. The Holly See inaweza ikahamia hata Tanzania leo hii, endapo kama Papa ataamua kuishi Tanzania. Lakini The Vatican City itaendelea kuwa nchi iliyoko ndani ya Roma, Italia. AU haukufundishwa kwamba The Holly See iliwahi kuhama baada ya Papa kufurumushwa Vatican na Napoleon ???

Siyo kweli kwamba Tanzania inazitambua Sheria za Vatican (Katoliki). Kwa sheria ipi?
Umesoma Bilateral Agreement between The United Republic of Tanzania and The Vatican City ??? Huu mkataba ndiyo ambao umeanzisha mahusiani baina ya hizi nchi mbili, na kutoa mwongozo wa shughuli zote za Kanisa Takatifu la Mitume nchini Tanzania. Wewe Mkatoliki gani huufahamu ???
 
Mimi nitakuambia mambo ya kitaalamu, huu muda wa kuzungumzia siasa uchwara za kijamaa sina kabisa. Ninachosema ni hivi, sheria zinatambua kwamba Zanzibar inaweza kujiunga na taasisi za kimataifa na kuingia mikataba ya kimataifa. Hutaki unaacha....
 
Watu wa bara walivukaje bahari mpaka Zanzibar? Ukisema walikuwepo wakati visiwa vinamegeka siyo kweli. Modern human hakuwepo enzi hizo.
Hakuna proof yoyote ya uwepo wa human beings wakati wa kumegeka, ila ile 1732 wakati Sultan Seyyid Said anahamishia makao makuu ya Sultanet yake toka Oman kuja Zanzibar, alikuta visiwa vile vina wenyewe, hivyo huyu ni mvamizi!. Mjerumani alipokuja Karl Peters aliingia mikataba na wenyeji, japo ilikuwa ni kwa lugha ya Kijerumani, na kina Sultan Mangungo hawakujua kusoma wala kuandika, wala kilichomo kwenye mikataba hiyo lakini saini zao za dole gumba zilikuwepo kuonyesha kukubali. Sultan yeye alivitwaa visiwa vya Unguja na Pemba baada ya kumfanya kitu ambacho hakijulikani mtawala wa asili wa Zanzibar, Mwinyimkuu na hivyo kuvitwa visiwa hivyo kama ameokota dodo chini ya mwambe!. Is that right?. What happened to Mwinyimkuu?

All in all, what goes around comes around, alichokifanya Sultan Sayyed Said kwa Mwinyimkuu, ndicho walichokifanya wajukuu na vitukuu wa Mwinyimkuu kwa wajukuu na vitikuu wa Sultan Seyyid Said ile Januari 12, 1964! .
"Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga". Ile 1964 Waarabu wala hawakufukuzwa Zanzibar...
P
 
Hakuna kitu nakitaman kama zanzibar kuwa dissolved kama Tanganyika na kubak mikoa tu. Tukiwaacha waende zao
1. tutatumia gharama kubwa kujilinda ukanda wa pwani, hasa dhidi ya magendo na magaid.
2. tutakarbisha ushindan wa kikanda kuhusu bandar na kodi. Pia mafuta na ges vitaleta mgogoro tokea kwa wawekezaj km kawaida yao.
3. Wazanzibar weng watapoteza mali za kiardhi na biashara na ajira. Pia tumeshaingiliana sana kindoa na kiuraia.

4. Ccm itapoteza ruzuku kubwa ya kichama
Nashaur busara itufikishe kuwa na nchi moja, rais mmoja, mahakama moja, bunge moja.
 
Acha woga. Gharama za kujilinda ni zilezile. Tumewezana na Rwanda, Kenya itakuwa Zanzibar?
 
Duh!...huu muungano mbona mnaupinga hivi?....
tatizo ni mambo yanavyokuwa mtu wa bara kwenda zenji vikwazo vyake sasa utadhani unaingia china na hata ukiwa huko unabaguliwa lkn wazenji wakija bara fresh ni kama mjuba anavyoingia mageto kwake utata ndo unaanzia hapa tunafika mpka kweny kumiliki ardhi wazenji wanamiliki bara lkn ni tofauti kwa mbara atakavyokuwa zenji kwa mfumo huu nini faida ya muungano sasa hpa ndo inshu ya serikali 3 ilipoanzia ili kuwepo na vikwazo pande zote mbara aende zenji kwa kibali the same na kwa mzenji
 
You nailed it !! Na huo ndio ukweli!!!
 

Mliyataka wenyewe kwa kukubali anti ya uingereza ya kuivamia Zanzibar.

Uelewe pesa zote zinazopatikana kuanzia Za viza mpaka utalii Na sehemu Za historia , bandari zimechukuliwa kwa nguvu Na Tanganyika. Haya ni masharti mnayowapa vibaraka wenu mnayowapa madaraka kwa nguvu
 
Duh !! Lakini Mungu si Athumani sasa hivi mambo ni mpwito mpwito !! Mshindwe wenyewe tu !!
 
Last point kuhusu usalama[emoji108][emoji108][emoji108]

Otherwise watuambie kuwa jeshi letu ni dhaifu majini tofauti na mipaka ya Ardhi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…