Zanzibar ni nchi huru au ni sehemu ya Tanzania?

Duh !! Lakini Mungu si Athumani sasa hivi mambo ni mpwito mpwito !! Mshindwe wenyewe tu !!

Hakuna tushindwe wenyewe bado Zanzibar Si nchi , inatawaliwa Na Tanganyika. Mwinyi kaletwa Na Magufuli kuimaliza . Pesa zote ambazo Wazanzibari walionje hutumar zinachukuliwa Na Tanganyika. Wazanzibari
Your browser is not able to display this video.
wanapewa pesa Za madafu
 
Wanailamba bila bughudha huku wanabembelezwa wasiuvunje muungano !! Au vipi ??!!
Wenyewe ndio hawataki muungano uvunjike..undhani ukovunjika walamba asali wa zenji wataishije..mana kuna wabunge jina wapo dodoma wanalamba asali mwaka mzima ila wanayo yasikiliza ni 90% masuala ya Tanganyika.

Ndiomana uchaguzi mambo yakiwazidia huomba msaada toka Tanganyika kuimalisha ulizi ili waendelee kulamba asali.

Siku muungano ukivunjwa zenji yote watakuwa gizani.[emoji28]

#MaendeleoHayanaChama
 
Ila wazenji kwa kulia lia..ndio mana midebwedo.

#MaendeleoHayanaChama
Ni kwa sababu hakuna aliye Familia yako ameuliwa au kutiwa kilema. Mzigo wa mwenzako kwako ni ganda la usufi
 
Ni kwa sababu hakuna aliye Familia yako ameuliwa au kutiwa kilema. Mzigo wa mwenzako kwako ni ganda la usufi
Kwanini mtake kuvunja muungano..ili hali muungano ni kitu kizuri cha faida kwa wote.?

Je wewe ni muumini wa muungamo ama utengano?

Je uko tayari kwa serikali moja tu ya JMT.??

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa vipi Na mama hapo ni Kama remote control
Sasa mtafanyeje?

Mimi nakushauri acha kulialia ungana na wenzako wazenji wanao lamba asali ya Tanganyika maisha yaendelee mana huu muungano sioni ukifa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sasa mtafanyeje?

Mimi nakushauri acha kulialia ungana na wenzako wazenji wanao lamba asali ya Tanganyika maisha yaendelee mana huu muungano sioni ukifa.

#MaendeleoHayanaChama

Najua nafanya nini , sikumwagii mtama . Yana mwisho apendavyo Ałlah
Kumbuka chenye mwanzo kina mwisho
 
Kwanini mtake kuvunja muungano..ili hali muungano ni kitu kizuri cha faida kwa wote.?

Je wewe ni muumini wa muungamo ama utengano?

Je uko tayari kwa serikali moja tu ya JMT.??

#MaendeleoHayanaChama

Tatizo huu Si muungano ni uvamizi uitwao muungano

Sikiliza

Your browser is not able to display this video.
 
Zanzibar ni Ukraine ya Tanganyika. Tanganyika haitaki Zbar ijitawale wala kujiunga na jumuiya yoyote ya kimataifa. Unakumbuka suala la IOC Nyerere alimuwakia Mwinyi mpaka ikajitoa
 
Ni utapeli tu umejaa kwa huu unaoitwa muungano
 
Siku zote palipo waislam wengi lazima pawe na ubaguzi mkubwa saana
Mimi si Shangai kuona Zanzibar ipo ivo
Hata uku Ulaya izi ma state zilikuwa INCH izi ila hawana ubaguzi kama wazanzibar
 
Najua nafanya nini , sikumwagii mtama . Yana mwisho apendavyo Ałlah
Kumbuka chenye mwanzo kina mwisho
Kwahiyo wewe hutaki muungano bali utengano.

Hatuwezi ruhusu hili litokee..tunajiandaa na serikali moja.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…