Zanzibar ni nchi huru au ni sehemu ya Tanzania?

Well said! Ila dola gani isiyo na jeshi?

Kwenye suala la ajira, hujanishawishi mkuu.
Ajira zote za Zanzibar ni lazima uwe na kitambulisho cha mkazi.. labda nafasi nyeti za wizara/taasisi zinazihusiana na muungano mfano ofisi ya makamu wa rais.
 
Kwa sasa wao ndo wanafaidika zaidi.
Tanganyika imeingia kwenye makucha yao
 
Sa si unaona isivyoeleweka! Mara ndani ya muungano ni nchi, nje ya muungano sio nchi!

Mwisho wa siku inakuwa ni aina flani ya makubaliano ya kishikaji (kiujanja ujanja).
 
Sio tu fedha, angalia pia masuala ya ajira na ardhi. Hakuna usawa hata kidogo.
 
ni wakati sasa wa kuanza huu mjadala kwa mapana zaidi lakini sihuoni muungano miaka 20 ijayo,
ila wazanzibar wajiandae kisaikolojia
 
Hongera umeeleza vizuri sana sana ila mwanzoni umekosea kusema Zanzibar ni dola na sio nchi...usahihi ni kuwa Zanzibar ni nchi lakini sio dola.
 
Hapa wapemba wa Mchambawima watasoma "Zenji ni paradise kwa Tanganyika"
Hao wapemba nyoko sana, kuna vijiji vya Movemero Morogoro, Njombe nk, wamehamia huko wana nyumba, mashamba wanalima kila kitu na kuzalisha wake za watu ila kwa Watanganyika Zanzibar ni untouchable.

Kwani huu muungano unatufaidisha nini? Kama vipi tulianzishe tu.
 
Wakati mwingine huwa unachemka sana Pascal Mayalla .
Muungano wa Union ndiyo nini ?!.

Muungano wetu ni utapeli wa wanasiasa hasa walioko madarakani . Nothing more
 
Wakati mwingine akili huwa zinawarejea eehh. Tukiwaambia humo kumejaa utapeli . Nyie mna sifu na kuabudu
 
Umenkumbusha mtikila kwenye ubora wake akitema madini
Zanzibar ni nchi ila siyo dola.Ni kama Palestina ila wazinzibar wamesalitiwa na CCM Zanzibar ambao Sasa,wanaumwa ugonjwa wa Apedomoia,yaaani uleule unyaniii wa siku zileeeeee.
 
Wapemba ukipanda boat kwenda kwao visiwani wanakuangalia kwa chuki sana ila ukiyakuta huku bara yanajiachia kwa uhuru kabisa wamefika hadi kagera kule
 
Watanganyika tukieleweshwa kuhusu muungano tutakuwa wa kwanza kuuvunja, bado ni fumbo zito kizazi cha nya nyerere na maswahiba zake wakifa basi ndo kifo cha muungano, nawashauri wa zanzibar wapunguze kuwekeza bara
 
Tofauti ya Dola na nchi ni nn?
Dola kulingana na mkataba WA 1933 Montevideo Ina:
1:Raia
2: Eneo lake
3:Serikali yenye mamlaka kamili
4: Kutambulika kimataifa na kuwa na uwezo wa kuingia mkataba wa kimataifa kama
Uwezo wa kujiunga na mashirika ya kimataifa kama EAC,AU,UN nk
Uwezo wa kufanya biashara na Dola zengine
Jeshi lake la ulinzi nk
 
Watasajiliwa km wawekezaji wasipofuata sheria warudi kwao
Watanganyika tukieleweshwa kuhusu muungano tutakuwa wa kwanza kuuvunja, bado ni fumbo zito kizazi cha nya nyerere na maswahiba zake wakifa basi ndo kifo cha muungano, nawashauri wa zanzibar wapunguze kuwekeza bara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…