Zanzibar ni nchi huru au ni sehemu ya Tanzania?

Well said! Ila dola gani isiyo na jeshi?
Mkuu unashangaa nini, mbona kuna madola duniani hayana majeshi !!!
-The Vatican.
-The Sovereign Order of Malta
-The Principality of Andorra

Kwenye suala la ajira, hujanishawishi mkuu.
Ajira zote za Zanzibar ni lazima uwe na kitambulisho cha mkazi.. labda nafasi nyeti za wizara/taasisi zinazihusiana na muungano mfano ofisi ya makamu wa rais.
Nadhani umesoma kwa kujibu, hujasoma ili kuelewa. Nimezungumza kwamba kwenye Union Matters watanganyika wanafanya kazi Zanzibar. Lakini huu mfumo uko hata kule Marekani. Kuna ofisi za jimbo na shirikisho. Hapa gumu kuelewa ni lipi ???
 
Wakati mwingine huwa unachemka sana Pascal Mayalla .
Muungano wa Union ndiyo nini ?!.

Muungano wetu ni utapeli wa wanasiasa hasa walioko madarakani . Nothing more
Kuvunjika kwa muungano ndio mwisho wa ccm...hasa ccm vibaraka kutokea zenji..hawa kufa kupona hawataki huu muungano feki ufe..wako lazi kuuwa ndugu na jamaa zao ila tu ccm iendelee kutawala..ili waendelee kufaidi mema ya nchi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Just as UK na jamaa zake England na Scotland nk
 
Wivu huu sasa,tupige kura ya Maoni
 

Ina maana wewe ukiwa sehem ya mke wako anakuwa hana uhuru?
 

Muungano una nchi moja tu, ambayo ni Zanzibar.

Watanganyika hawaitaki nchi yao!

Kinachofanyika sasa ni nchi isiyotambulika kuikalia kimabavu na kuidumaza Zanzibar!!
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…