Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Mungu ailaze roho ya padre mahali pema panapomfaa, huyo amukuwa shujaa wa imani, ooh Yesu wangu, kwa nini hauji kulinyakua kanisa lako?
 
Hapana.Unakosea Ndugu.Nadhani Si Sahihi Ukisema Waislamu Wanawachukia Wakristu.I Think This Is Just A Cover Of 'something fishy' That You And I Might Not Be Aware Of.Kwanini Tusiliangalie Kwa Kina Hili Suala Na Tulinganishe Na Vuguvugu La Wanzanzibari Kutaka Uhuru Wao Kutoka Muungano Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania??Sidhani Ni Sahihi Kuendelea Kusema Kina Fulani Wanawachukia Kina Fulani...Tuwe Taifa Kwanza....Lenye Misingi Ya Heshima Kwa Haki Za Binadamu Ndipo Dini Itafata.
 

Wewe ndiye utakuwa mnafiki hivi hujaona au kusikia padri anatembea na mke wa mtu?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
JK janga , na ukiona anavyokemea sasa! Yaana kaama anawambia endeleeni hapo hamjafanya kitu!
 
Huu ni wakati wa action TEC mko wapi ??? Hatuwezi kukaa kimyaaaaa huku mapadre wetu wanauawa. Nyie ni viongozi wetu hata kama bible inakataza kulipiza kisasi basi tupeni mwongozo wa ama kufunga na kuomba au kuchukua silaha. Imeniuma sana. Tumsifu Yesu Kristu
 
UMESAHAU, hakuna kuwa wapenzi wa Kiislam, tuhame nchi kwa vile RAIS ni muislam, Zito Kabwe atolewe Chadema

Wewe sasa unakwenda vibaya. Unadhihirisha yale wezako wameyaficha.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 


Mkuu chama

Nikweli nakubaliana na wewe kanisa halikuanza jana ni ukweli usiopingika.

Kwa Dhana hiyo hiyo unaweza pia kutueleza kwanini kwa kipind kifupi zaidi ya makanisania 20 yamwchomwa moto

ukilinganisha na misikiti ambayo kwa bahati mbaya sina kumbukumbu mingapi imechomwa huko zanzibar Rejea kauli yako kwenye redi hapo juu.
 

wazo zuri ila unaamini polisi? Wameua Morogoro, Iringa, Tarime n.k. Anayeamini hii polisi ni kichaa
 
Mbona naona karibia kila mtu anamsema Kikwete na Serikali yake?nani kakuambia anaupendelea Uislam?au Imani yake ndo mnamuhusisha,,ingekua hivyo angewapa mahakama ya kadhi,angeshatoa dhamana kwa Ponda au angehudhuria kwenye msiba wa Sheikh Nassoro Bacho Zanzibar lakin hakwenda,,akaenda kwenye sherehe za kusimikwa maaskofu na km haitoshi akaenda kwenye mazishi ya Laizer,,,mmemlelea ktk mfumo kristo wala waislama hawatak kumsikia labda chama cha BAKWATA
 
JK janga , na ukiona anavyokemea sasa! Yaana kaama anawambia endeleeni hapo hamjafanya kitu!
Nalog off, nakwenda kanisani sasa hivi misa ya pili, nitawasikiliza mapadri wetu wana kauli gani juu ya hili, wakileta porojo leo kwa mara ya kwanza nitawaonesha kwamba hata viongozi wa dini tuna uwezo wa kuwapinga now days. i will back later.
 

Mkuu Matola
Kaa chini utafakari kabla kijitia hamasa za kidini

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…