Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Mnajua nini nyie makafiri,amtutishi na lolote.sisi tunacho amini kinanguvu saanaa! Nyie semeni yote lakini laiti ndo nyie makafiri tungekua jengo moja waallai vile ningejilipua mnipe tiketi safi yakwenda kumuona Molla wangu

Huyu ndo kafichua siri yao na nafikili huyo Molla wao anapatikana kuzimu na si mahali pengine kwasababu ili umuone lazima uharibu! Ama kweli kazi tunayo.Mungu wetu ni mungu wa Amani.
 
Matola,

NI wapi pameandikwa Adui wa Waislamu ni Catholic? Ni aibu kwa member mkongwe na maarufu kama wewe kusambaza chuki za kidini!! Adui wa Uislamu ni SHETANI na kuna aya kadha wa kadha za Kuran zinazotuasa kujiepusha ama kujikinga na SHETANI lakini hakuna Aya hata moja ambayo inatuasa kujikinga dhidi ya Ukatoliki! Unaifahamu historia ya Uislamu au unaishia kusukumwa na chuki za kidini peke yake?! Sikatai, kuna Waislamu wengi tu ambao wanafanya mambo ya ajabu ajabu kama hayo(ingawaje haijathibitishwa kwamba wauaji ni waislamu) lakini katu hiyo haimaanishi kwamba wanafanya hayo kwa ajili ya Uislamu!! Uislamu ni mwongozo uliopo kwenye Kuran ama Hadith na sio matendo yanayofanywa na waumini wake! Mara ngapi mapadri hao hao wa Katoliki wamekumbwa na kashfa za Ufir..aji? Ina maana kuna uhusiano kati ya Ukatoliki na ufi-raji?! Ikiwa ufi-raji nao ni ushetani, ni sahihi kusema Ukatoliki ni ushetani kwavile baadhi ya mapadri yake wana kashfa hizo?! Ficha Upumbavu Wako, Onyesha Busara Zako(By Invisible)!Narudia, ni aibu kwa mtu kama wewe ingawaje umebobea katika hili!
 
Last edited by a moderator:
@Mafaili na wengina ambao mnajaribu kutumia hii thread naomba mupunguze kashfa na kejeli dhidi ya dini kristu/uislam haikusaidii kwa lolote. Tunajua wengine mpo nje ya nchi hii ndio maana hamujali
 
Mapadre wa zama hizi ni wajasiriamali pia wanajirusha viwanja, huenda chokochoko zote zimeanzia uraiani katika harakati za maisha ndipo visasi vikafuatia. NYIE msije zidisha uadui kwa kuunganisha hili tukio la kupigwa risasi na udini
 
Mapadri ni binadamu kama wewe wana mapungufu usirukie tu kudai eti waislamu wamemuua padri; acha vyombo vya sheria vifanye uchunguzi wake; hatuna haja ya kupandikiza chuki za kidini pasipo na uhakika wa sababu za kuuliwa padri

Chama
Gongo la mboto DSM
kuna watu wamekaa kipropaganda wakati wenzao wana kufa tuache propaganda , Tuwambie wenzetu waislam huko Zanzibar mambo yanayoyafanya sio Mazuri tunakoelekea ni kubaya zaidi sasa kama wewe unaleta propaganda , wenzenu wakristo huko Zanzibar wataendelea kuuwawa. Wakeemeni kwa mabaya wanayo yafanya ,tuache Siasa jamani kwenye Mambo Serious
 
Ni vita ya shetani dhidi ya watu wa Mungu,waumini wa kweli wa Mungu hawapigani kwa bunduki,ni wakati wa wakristo kuondoka huko zanzibar na kuwaachia kipande chao cha ardhi,na wazanzibari wa huku bara nao wafungashe virago watokomee kwao,elimu ni muhimu sana.

Inauma sana!!na taratibu uvumilivu unakaribia kufika mwisho!
 
Kuna mtu yeyote anamfaham Shekh yeyote kutoka Zanzibar anaehudum huku Tz Bara?!

Nahitaji kwenda kumsalimia tu, mana sis sote ni ndugu na tunapendana sana.!!!!

R.I.P Padre Mushi, tuliobaki hai tutakutetea kwa njia yeyote wakat ukifika, mana serikal yako imeshindwa..!

Waislam hatuna udugu na wacristo. Kuusu mashekhe wa Zanzibar wakwanza ni mimi, karibu sana nyumbani hivisasa naelekea keko kutokea tandika kama vipi tukutane changombe post.
 
Enough is enough na liwalo na liwe,hawana sababu yoyote ya kutunyanyasa na kutuonea kiasi hichi,haiwezekani kila siku wakristu wawe watu wa kuomboleza kwa ajili ya wahuni wanaotumia mwavuli wa dini,Viongozi wetu naomba mtuongoze vyema katika hili na tuseme sasa imetosha
 
Acha Dharau zako kwani Mtoto wa kike hana haki ya kutuo Habari, habari imesomwa leo asubuhi Ma redioni kama Break News. na wamesema Padri ameuawa na waslamu Zanzibar sasa wewe unataka aripoti vip? Acha upunguani wewe
Acha kukurupuka, mie sija-quote habari yake bali nime-quote ambacho alikisema baad ya habari....we vipi?!!
 
Mapadre wa zama hizi ni wajasiriamali pia wanajirusha viwanja, huenda chokochoko zote zimeanzia uraiani katika harakati za maisha ndipo visasi vikafuatia. NYIE msije zidisha uadui kwa kuunganisha hili tukio la kupigwa risasi na udini

kuna watu wamekaa kipropaganda wakati wenzao wana kufa tuache propaganda , Tuwambie wenzetu waislam huko Zanzibar mambo yanayoyafanya sio Mazuri tunakoelekea ni kubaya zaidi sasa kama wewe unaleta propaganda , wenzenu wakristo huko Zanzibar wataendelea kuuwawa. Wakeemeni kwa mabaya wanayo yafanya ,tuache Siasa jamani kwenye Mambo Serious
 
kuna watu wamekaa kipropaganda wakati wenzao wana kufa tuache propaganda , Tuwambie wenzetu waislam huko Zanzibar mambo yanayoyafanya sio Mazuri tunakoelekea ni kubaya zaidi sasa kama wewe unaleta propaganda , wenzenu wakristo huko Zanzibar wataendelea kuuwawa. Wakeemeni kwa mabaya wanayo yafanya ,tuache Siasa jamani kwenye Mambo Serious
kwanini mnasema kuwa waislam ndo wamemuua PADRE?
 
aamini nawaambia msimuogope auaye mwili maana shetani kazi yake ni kuua bali kazi ya mwana ni kuhuisha.
 
Hii mambo ipo very serious, juzi hapo jumatano ya majivu tumetoka kanisani tukakutana na jamaa ndani ya kanzu wakatukashifu, tumekua vinyago. RIP padre. someone is behind this and something should be done hapa kabla wakristu wapole hawajalipa.
 
padri mushi ambaye ni paroko wa parokia ya minara miwili - zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani.

Source: Radio wapo ya jijini dar es salaam
radio maria pia wameripoti tukio hilo la padre mushi kupigwa risasi na kuuawa huko zanzibar.
 
wakubwa:

Taarifa zilipatika sasa hivi ni kuwa paroko wa kanisa la katoliki minara mirefu zanzibar, evarist mushi amefariki dunia baada ya kupigwa risasi saa 1.00 asubuhi na kufariki kabla hajafika hospitali ya minazi mirefu. Paroko huyu amepigwa risasi akishuka katika gari lake wakati akienda kuendesha ibada ya saa 3.00 leo.
watanzani tujiulize tunakwenda wapi sasa?
 
wakristo mtaangamia kwa kujidai hamjui kulipiza..

Nadhani kwa Zabzibar bora wabaki hivyo hivyo au waondoke. wakisema walipize. Wanawabeep maksudi ili mjibu wawamalize.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Back
Top Bottom