Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Mapadri ni binadamu kama wewe wana mapungufu usirukie tu kudai eti waislamu wamemuua padri; acha vyombo vya sheria vifanye uchunguzi wake; hatuna haja ya kupandikiza chuki za kidini pasipo na uhakika wa sababu za kuuliwa padri

Chama
Gongo la mboto DSM

Kauli za kinafiki kama hii zinaudhi kweli. Wakristu Zanzibar wanadai kumekuwa na direct threat tangu kupigwa rrisasi kwa padre Ambrose, halafu hata tunajaribu ku-play politics kwenye mambo ya msingi na hatari kwa taifa.

Baada ya tukio hili la leo wakristu waliendelea kukusanyika kanisani ili kuwarahisishia kazi wauaji. Wanadai kwamba polisi kama kawaida watakuja kwenye eneo la tukio na kuangalia kisha watasema ni ujambazi, na wala hakuna hatua yoyote itakayochukuliwa. Hakamatwi mtu.
 
Nawaomba wakristo popote mlipo kuanzia leo chukueni hatua hizi. Hakuna kununua chochote kwenye duka la mwislam hakuna kupanda gari ya mwislam hakuna kununua kwenye genge la mwislam kila mmoja ajue kwamba uislamu ni ugaidi usimwamini mwislam popote utakapo kutana naye muone kama adui mkubwa wa ukristo na uwe tayari kwa wakati ukifika wa kuifia dini yako tukufu maana wakimaliza kuuwa viongozi wataanza na waumini hivyo tuungane kutokomeza ugaidi wa kiislamu popote pale na misikiti yao iliyojaza makopo machafu ya kunyea iteketezwe popote pale R.I.P mushi

...i dare you to be the 1st... 'kutupa jiwe!'
 
Nawaomba wakristo popote mlipo kuanzia leo chukueni hatua hizi. Hakuna kununua chochote kwenye duka la mwislam hakuna kupanda gari ya mwislam hakuna kununua kwenye genge la mwislam kila mmoja ajue kwamba uislamu ni ugaidi usimwamini mwislam popote utakapo kutana naye muone kama adui mkubwa wa ukristo na uwe tayari kwa wakati ukifika wa kuifia dini yako tukufu maana wakimaliza kuuwa viongozi wataanza na waumini hivyo tuungane kutokomeza ugaidi wa kiislamu popote pale na misikiti yao iliyojaza makopo machafu ya kunyea iteketezwe popote pale R.I.P mushi

UMESAHAU, hakuna kuwa wapenzi wa Kiislam, tuhame nchi kwa vile RAIS ni muislam, Zito Kabwe atolewe Chadema
 
Inauma sana!!na taratibu uvumilivu unakaribia kufika mwisho!

kuna watu wamekaa kipropaganda wakati wenzao wana kufa tuache propaganda , Tuwambie wenzetu waislam huko Zanzibar mambo yanayoyafanya sio Mazuri tunakoelekea ni kubaya zaidi sasa kama wewe unaleta propaganda , wenzenu wakristo huko Zanzibar wataendelea kuuwawa. Wakeemeni kwa mabaya wanayo yafanya ,tuache Siasa jamani kwenye Mambo Serious
 
Padri Evarist Mushi, ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Mtoni Zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani kuongoza ibada.

Source: Radio Wapo

Tukio la kupgwa rsas padri Mkenda tuliambiwa ni majambaz walihska.....................wakapelekwa wapelelezi wenye utaalamu wa hali ya juu toka bara kuchnguza...................haya tusubiri hili tutaelezwa ni nani kahusika............
 
Tatizo wewe ndio unayeandika propaganda Zanzibar kanisa halikuanza jana; soma historia ya kanisa; upo uwezekano labda alikuwa haelewani na mmoja wa kondoo aliokuwa akiwachunga; hivi wewe hujasikia padri ametembea mke wa muumini kanisani? au padri kapora mke wa mtu? si mnao mfano hai! Upo uwezekano mkubwa tu kauliwa na muumini mwenzake; mtu hatoki tu nyumbani kwake na kusema leo nikaue padri labda kama ni mgonjwa wa akili

Chama
Gongo la mboto DSM

Then shehe Ilunga ni mgonjwa wa akili!
 
Ukicheka na nyani qutavuna mabua. Mabaraza ya maaskofu yatoe matamko, na ijulikane kwa jumuiya za umoja wa mataifa kuwa Zanzibar si sehemu salama kwa wakristo. Wanatakiwa kujihami. Amani haitakuja bila ncha ya upanga

Tamko linasaidia nini. Unadhani wao wanayasikiliza hayo matamko.


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Mnajua nini nyie makafiri,amtutishi na lolote.sisi tunacho amini kinanguvu saanaa! Nyie semeni yote lakini laiti ndo nyie makafiri tungekua jengo moja waallai vile ningejilipua mnipe tiketi safi yakwenda kumuona Molla wangu

tehe tehe tehe! Ukifika huko msalimie ustaadh Mudi! Jilipue kaka
 
Nimekuwapo Zanzibar wiki yote iliyopita!ktk maskani nyingi ni stori za Mfumo Kristo na hasira dhidi ya kanisa!Wanaamini kuwekwa ndani kwa viongozi wa UAMSHO ni mkono wa kanisa.... Lakini kilichoibua chuki zaidi ni kifo cha juzi cha Ulamaa,Sheikh maarufu wa Zanzibar aliyezikwa juzi huko Z'bar,katika maziko yake kuliibua hasira na chuki dhidi ya Kanisa,kutokuwepo kwa Rais na viongozi wakubwa wa serikali ktk maziko hayo kumeleta chuki sana dhidi ya kanisa,lakini wakati huohuo viongozi wakuu wakapiga kambi Arusha na Moshi kuwazika Maaskofu wa kikristo!Jaribio la kumwuua Padre Evaristo Kimario ni kutaka kuona je Kikwete na serikali yake watasemaje......!? Z'bar vijana wamekuwa wanajiuliza,kama Padre aliyepigwa risasi hadi Kikwete alifika kumtazama kwanin isiwe kwa maziko ya Sheikh huyo wa Z'bar?Ukurasa wa Facebook wa UAMSHO toka majuzi umekuwa ukihamasisha tendo linalofanana na hilo lililotokea leo!
 
Udini alioupandikiza JK unatupeleka pabaya! Jamani vita ya udini ni mbaya JK do something kweli Nyerere aliona mbali alipomkataa huyu mtu
 
JK kama kawaida yake atasubiri vikao vya CCM ndio atalaani mauwaji haya, sijui Amiri jeshi mkuu wa nchi hii ni nani!! nimefarijika sana na Barack Obama jinsi alivyolishughirikia swala la mauwaji ya watoto na akawaaidi Wamarekani kwamba halitatokea tena na akaamuru sheria kali ziundwe mara moja za umilikaji silaa.

Huyo ndio Amiri jeshi mkuu, siyo mtu anayependa kwenda misibani badala ya kuzuia vifo ili kupunguza safari za misibani, mtu anayewaza kupanda ndege muda wote ni wa ajabu sana.
 
Eee Mungu wangu ni nini tena hii? dah! unbelievable! hatari sana hii ndugu zangu watanzania wenzangu. Tunu ya amani na mshikamano katika nchi yetu naona sasa iko mashakani more than ever katika historia ya nchi hii.

Ukijaribu ku-sum up matukio ya harakati za kidini za hivi karibuni na jinsi serikali inavyoshadidia na kusapoti upande mmoja unapata tabu sana.

Hapa hatujamaliza kupata suluhu juu ya swala la haki ya kuchinja baina ya waislamu na wakristo ambapo serikali inaonekana kuwa upande wa waisilamu kwa sababu ambazo wanazijua wao wenyewe. Mchungaji ameuwawa na bado tupo kwenye maombolezo haya mengine yanatokea.......

Juzi kati padre ambrose alikoswakoswa kuuwawa huko huko Zanzibar na hakuna mtu yeyote aliyechukuliwa hatua. kabla ya tukio la leo kulikuwa na vipeperushi vinavyodai kwamba mission iliyofeli ya kumuua padre ambrose siyo mwisho wa mapambano, na kweli hatujakaa sawa tunasikia padri Mushi kauwawa. Serikali nayo imekaa kimya tu, wahusika waliozalisha na kusambaza vipeperushi hivyo wako huru na wanaendeleza mambo yao. tusisahau kwamba Ijumaa juzi hapa waislamu pamoja na kutoruhusiwa kuandamana lakini waliandamana.

machungu ya uchomaji makanisa haujaisha bado, in fact leo jumapili tumeendelea kuchanga kwa ajili ya kujenga kanisa la Mbagala lililochomwa moto.

Tunaelekea wapi? Na ni kwa nini uongozi wa juu wa nchi hii imekuwa ikisaidia kueneza uislamu hata ikibidi kutoa uhai wa watu na kuhatarisha amani na mshikamano wetu. Kwani nchi hii zi haina dini kwa mujibu wa katiba?.Tumeona sasa udini umeingia hadi bungeni, michango ya wabunge huegemea dini yao. Aibu kubwa sasa hii.

Enyi wakristo, watu wa Mungu tuamkeni sasa, ni lazima tena ni muhimu haya mambo sasa tuyachukulie kwa uzito wake na kutafuta namna nzuri ya kukabiliana nayo.

Eeh Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, wewe uliye mwema kwa viumbe vyako, tunakuomba Amani yako itamalaki, tunakuomba Umoja na Udugu na Upendo katika nchi yetu. Shetani Baba wa uharibifu, achinjae na kuua ashindwe katika Jina la Yesu, Mwana wako na Mwokozi wetu.

Jina lako Baba Lihimidiwe Milele na Milele.

Na semeni wote Ameeeen!
 
Kuna siri nadhani ya kuwauwa si bure
Padri wanawindwa km wanyama si waseme wazi walichokosa ili wajirekebishe!
Itakuja tokea kwa watu wasio Mapadri
Tatizo Serikali iko kimya chuki zinazidi
 
Huyo Allah wao anawadanganya...sisi tuna Mungu wao wana Allah na Muhamad..
Hakika hawatamshinda Yesu aliye hai.

Naaam usimtukane mpumbavu asije kukutukania mungu wako,kuuawa kwa huyo padri hakuna mwenye jibu hata mmoja kwa sasa,na hata kama kauawa na muislamu sio justification ya kuwatukana waislamu na mungu wao!,huko ni kuonyesha elimu ndogo uliyonayo kichwani,sifurahii mtu yoyote kuuliwa duniani,nitaendelea kuwalilia wapelestina wanaouliwa kila siku na waisraeli wawe wakristo au waislamu,nani asiyejua marekani ndo mfitinishaji mkubwa duniani? Wajinga tu ndo hawauoni ukweli huo.
 
Inasikitisha sana kwa watu wachache wenye interest zao za kisiasa kutumia Dini na kutudhalilisha waislam.
Inshalaah mwenyezi mungu awape wepesi wa kuwa wavumilivu na wenye busara wafiwa katika kipindi hiki kigumu.
 
Haitoshi tu kutoa tamko zito hawa viongozi wa wakristo lazima waende mbele zaidi maana matatizo yanazidi kuongezeka kila siku mgogoro na waislam,chukua mfano mwanza ,geita ambapo suala lilikuwa kuchinja nyama sasa linaghaimu maisha ya watu na hii zanzibar ni tatizo,serikali pia ijiulize kwanini haya yanatokea sasa, tusipokuwa makini mambo yatazidi hapa, maana hata serikali yenyewe inalazimika kuficha ukweli.:sleepy:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom