Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Huyu MOYONI anashangilia, amekomenti hivyo kukufurahisha, mbona mauaji mengine hayuko objective?!.. MDINI tu humjui.


mkuu
Ninamfaham vema nimejadili nae mambo mengi hapa janvin.
 
Tumewasikia wenye maoni ya kupalilia chuki miongoni mwa watanzania kwa kisingizio cha mauaji ya maaskofu.


Walioumuua ni wakosaji sawa na wale wanaoshabikia mauaji na ulipizaji kisasi. ZNZ ni njema, atakaye na aje.

Polisi wanafanya uchunguzi na waliohusika watatiwa nguvuni bila shaka.
 
Serikali ya Zanzibar inajua hii mipango,hasa yule aliyestaafu anajua kila mipango,eti ndiyo tuwape kuongoza ukoo wa TZ/Tanganyika 2015 si nchi itanuka kabisa?.yetu macho na JK anawaabudu hiyo 2015 hatutaki yeyote atakaepigiwa chapuo na JK.
 
Tutafakari kwa nini wengi wa viongozi wa dini ya kikristo waliopigwa risasi kule Unguja ni kutoka Roman Catholic wala sio KKKT, Anglican, Moravian n.k???

katafakari we na mamaako.....**** wewe
 
Walipanda udini na kuweka mbolea 2010, sasa wameanza kuvuna. Nape, Mwigulu, Kinana kikinuka tu mi na nyie
 
RIP padre,

Tunataka kauli na juhudi zilitumika katika kuwapata mashukiwa wa mauaji ya kamanda Barlow.

Nakumbuka IGP alisema lazima walipize!
 
RIP Baba Paroko Mungu atalishamirisha zaidi kanisa kwa damu iliyomwagika kwa kazi ya magaidi waliojifunzia Somalia
 
Kama mjadala unaohusu kifo cha Padri, na watoa maoni ni sehemu ya Watanzania wenye akili timamu, basi tuendako tumefika,, makabila yamezikwa, tofauti za udini zinaimarika, na Hakuna mwenye dini mbaya, nchi imeshameguka,
 
Inaumiza sana sana sijui huu udini utatufikisha wapi. Mungu umpumzishe mtumishi wako katika ufalme wako. Amina.
 
Tumewasikia wenye maoni ya kupalilia chuki miongoni mwa watanzania kwa kisingizio cha mauaji ya maaskofu.


Walioumuua ni wakosaji sawa na wale wanaoshabikia mauaji na ulipizaji kisasi. ZNZ ni njema, atakaye na aje.

Polisi wanafanya uchunguzi na waliohusika watatiwa nguvuni bila shaka.

kama wewe ni mwislamu ni haki yako kuyasema haya'.
 
Umpe ee Bwana raha ya milele na mwanga wa milele, umuangazie apumzike kwa amani. Jamani where is our country heading to?
 
hili dini limekuwa kero kushindwa hata gonjwa la zinaa tupa kule i hate this shit kwa kweli ifike muda bwana waislamu mshirikishe akili zenu kwenye mambo madogo ya kidini.Hata kwa simple judgement or reasoning huwezi kuamini ujinga eti ukimuua asiye muislamu unaingia peponi kijingajinga.Pumbafu kabisa acheni ujinga sisi ni binadamu wenzenu shenzi type kama ban nipigeni tu kulaleki nimeshakasirika nipo tayari kwa lolote bullshit tumevumilia sana tumeshawachoka arggggg....
 
Hayo ndiyo madhara ya kuchagua viongozi wa nchi kwa ushabiki wa Yanga na Simba!!!! Chagueni ccm tena 2015!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom