Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Unapata hasira kwa lipi? hizo ni hofu mnazojipa wenyewe; ila kwa uhakika wakristo wazawa wa Zanzibar hawana hofu yoyote nilikuwapo mwaka jana sikuyaona hayo unayoyasema kila kitu kilikuwa shwari. Nyie ndio mnaotaka kupotosha watu kwa hisia zenu; Mkuu nimeshakuambia isemee nafsi yako undani wa mtu huujui kuvaa msalaba au kushika tasbihi haimaanishi wewe ni muumini au mwadilifu!

Chama
Gongo la mboto DSM

Ni mzawa na nina hofu. Usijiingize kwenye malumbano ambayo huna full knowledge nayo. Na kwa hayo uliyoandika - hasa hapo kwenye red - napata picha!
 
Sasa sio udini tena imekuwa ni CCM? Mbona mkuu umeishiwa na hoja mepema!

Chama
Gongo la mboto DSM

To you and your party CCM, Those are the the two parts of the same coin....they are inseparable.
 
Ni mzawa na nina hofu. Usijiingize kwenye malumbano ambayo huna full knowledge nayo. Na kwa hayo uliyoandika - hasa hapo kwenye red - napata picha!

Nao marafiki ni wazawa tangu vizazi vya mabibi na mababu zao! Si hivyo tu tuna mahausiano ya karibu sana ya kifamilia! Tafuta wa kuwadanganya!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Nao marafiki ni wazawa tangu vizazi vya mabibi na mababu zao! Si hivyo tu tuna mahausiano ya karibu sana ya kifamilia! Tafuta wa kuwadanganya!

Chama
Gongo la mboto DSM

Karibu, tunaandaa mazishi tarehe 20.
 
In Matthew 5:22, Jesus said it like this: But anyone who says, "you fool" will be in danger of the fires of hell.
In other words, disrespect is the doorway to all forms of Malice (intentionally inflicted harm), evil, sinister and diabolical and malicious behavior.

The God of peace will soon crush Satan under your feet. May the grace of the Lord Jesus Christ, and the love of God, and the fellowship of the Holy Spirit be with you all.

Rest in Peace

Naona msambaza chuki mkuu amerejea.....tutarajie posts za kashfa za kidini soon!
 
Mkuu chama,
Sisi wengine tunaishi na kufanya kazi na wa dini tofauti mimi mtu ambaye nafanya nae kazi ni Budda nipo bongo namtumia pesa yupo Macao ananitumia bidhaa, hapa bongo nina marafiki wengi Wakirsto kuliko Waislam, sasa kwa nini tuchukiane.
Shekhe Hassani Ilunga ni dini gani? Au ni gaidi
 
Mkuu Ritz
Kuna humu JF ni hatari kuliko yale magaidi unayoyajua sema hawajawa na courage ila ni hatari sana; tukichukiana kwa misingi ya kidini tutachukia wangapi?

Chama
Gongo la mboto DS
M

.......

Waliomuua Padre ni akina nani eti???Nawachukia kweli!
 
Uislam siyo dini ya mtu. Nisaidie kujibu haya maswali yangu Adolf Hitler na Benito Mussolini walikuwa dini gani.
Kwani Adolf Hitler na Benito Mussolini walilkuwa Mapadri au Wachungaji? Mimi nimekuuliza SHEKHE HASSAN Ilunga ni dini gani? hapo kwenye red ndio inatofautisha kati ya Adolf Hitler , Benito Mussolini na HASSAN Ilunga
 
Na wale Makasisi waliolengesha watu Kanisani wakawaita Banyamulenge wawamalize unasemaje ?:whistle:
 
Nao marafiki ni wazawa tangu vizazi vya mabibi na mababu zao! Si hivyo tu tuna mahausiano ya karibu sana ya kifamilia! Tafuta wa kuwadanganya!

Chama
Gongo la mboto DSM

Nyamaza we kima; hujui madhila tunayopata kwenye kisiwa hiki..uhuru wa kuabudu ni next to null and it has become worse recently-----haya mambo yanajulikana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom