Unapata hasira kwa lipi? hizo ni hofu mnazojipa wenyewe; ila kwa uhakika wakristo wazawa wa Zanzibar hawana hofu yoyote nilikuwapo mwaka jana sikuyaona hayo unayoyasema kila kitu kilikuwa shwari. Nyie ndio mnaotaka kupotosha watu kwa hisia zenu; Mkuu nimeshakuambia isemee nafsi yako undani wa mtu huujui kuvaa msalaba au kushika tasbihi haimaanishi wewe ni muumini au mwadilifu!
Chama
Gongo la mboto DSM
Ni mzawa na nina hofu. Usijiingize kwenye malumbano ambayo huna full knowledge nayo. Na kwa hayo uliyoandika - hasa hapo kwenye red - napata picha!