Zanzibar: Polisi wajitafakali, mtu anagonga mtu anaachiwa bila mawasiliano na ndugu wa aliyegongwa

Zanzibar: Polisi wajitafakali, mtu anagonga mtu anaachiwa bila mawasiliano na ndugu wa aliyegongwa

Dhamana siyo lazima ajulishwe alietendewa kosa maana dhamana ni haki ya mtuhumiwa wa makosa yanayo dhaminika, kumbuka mtuhumiwa hatakiwi kukaa zaidi ya masaa 24 kituo cha polisi bila dhamana au kufikishwa mahakamani kama kosa linadhaminika

Kama amedhaminiwa ni haki yake, ingekua kafutiwa kesi kabla ya majeruhi kupata haki yake hiyo ndo ingekua ni uonevu na kinyume na sheria
Sasa tangu jumapili mpaka leo hajapelekwa mahakamani
 
Tumepokea, kwa niaba yake , maana anatakiwa afanyiwe operesheni ya kichwa, famu imevia kichwani
Haya mambo ya ajabu yapo sana unguja,kama hujawahi kuishi unguja kwa muda mrefu unaweza kuhisi labda wazanzibari wanasingiziwa,ila hawa jamaa ni wabaguzi na wana roho mbaya sana nadhani pia sababu ya ukosefu wa elimu miongoni mwao kwa asilimia kubwa
Anyway salamu za pole ziende kwake huyo jamaa inaumiza sana
 
ila hawa jamaa ni wabaguzi na wana roho mbaya sana nadhani pia sababu ya ukosefu wa elimu miongoni mwao kwa asilimia kubwa
Wengi wao hawajatembea, huwa naamini hakuna elimu bora na ya haraka kama kutembea maeneo mbalimbali hapa duniani!

Unaweza kujiona una maendeleo kumbe hujatembea! Ukitembea ndiyo utajua kumbe unacheza tu!
 
Ile clip ya wale wamasai walio watia adabu mgambo sijui ndio kmkm umewaina?
Wamasai wapo wanadunda mitaa ya mchanbawima.
Japo sio vizuri kushambuliana vile,lakini kwa hali ndo wananchi wanajichukulia hatua mkononi
 
Traffic case ngumu sana. jichunge sana ukiwa barabarani. Kosa lingekuwa kubwa kama dereva angekuwa amelewa au hana leseni. Ila wanasema hamna mtu aanaekusudia kwenda kufanya ajari.
 
Back
Top Bottom