- Thread starter
- #21
Sasa tangu jumapili mpaka leo hajapelekwa mahakamaniDhamana siyo lazima ajulishwe alietendewa kosa maana dhamana ni haki ya mtuhumiwa wa makosa yanayo dhaminika, kumbuka mtuhumiwa hatakiwi kukaa zaidi ya masaa 24 kituo cha polisi bila dhamana au kufikishwa mahakamani kama kosa linadhaminika
Kama amedhaminiwa ni haki yake, ingekua kafutiwa kesi kabla ya majeruhi kupata haki yake hiyo ndo ingekua ni uonevu na kinyume na sheria