Sasa tangu jumapili mpaka leo hajapelekwa mahakamaniDhamana siyo lazima ajulishwe alietendewa kosa maana dhamana ni haki ya mtuhumiwa wa makosa yanayo dhaminika, kumbuka mtuhumiwa hatakiwi kukaa zaidi ya masaa 24 kituo cha polisi bila dhamana au kufikishwa mahakamani kama kosa linadhaminika
Kama amedhaminiwa ni haki yake, ingekua kafutiwa kesi kabla ya majeruhi kupata haki yake hiyo ndo ingekua ni uonevu na kinyume na sheria
Tumuombee maana hana msaadaUku Zanzibar ukiwa na ndugu serikalini basi hakuna matata 🥲
Haya mambo ya ajabu yapo sana unguja,kama hujawahi kuishi unguja kwa muda mrefu unaweza kuhisi labda wazanzibari wanasingiziwa,ila hawa jamaa ni wabaguzi na wana roho mbaya sana nadhani pia sababu ya ukosefu wa elimu miongoni mwao kwa asilimia kubwa
Anyway salamu za pole ziende kwake huyo jamaa inaumiza sana
Inahudhunisha kwa kweliHawa wanachokitafuta watakipata.
Wengi wao hawajatembea, huwa naamini hakuna elimu bora na ya haraka kama kutembea maeneo mbalimbali hapa duniani!ila hawa jamaa ni wabaguzi na wana roho mbaya sana nadhani pia sababu ya ukosefu wa elimu miongoni mwao kwa asilimia kubwa
Huyu Lucha kwa comment ile yaonekana hazimtoshiVipi kama aliyegongwa baadae alikwenda kufa na huku mtuhumiwa kashaachiwa kwa dhamana
Inahuzunisha ndilo nenoInahudhunisha kwa kweli
Mamlaka Kuna namna zinashindwa ku balance, utoaji wa haki kwa pande zoteInahuzunisha ndilo neno
Ile clip ya wale wamasai walio watia adabu mgambo sijui ndio kmkm umewaina?Mkuu, sidhan kama angekuwa mbara kagonga angeachiwa
Japo sio vizuri kushambuliana vile,lakini kwa hali ndo wananchi wanajichukulia hatua mkononiIle clip ya wale wamasai walio watia adabu mgambo sijui ndio kmkm umewaina?
Wamasai wapo wanadunda mitaa ya mchanbawima.