Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Atashangaa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha wabongo ni bongolala wahed, stahiki yako umlambe binadamu mwenzio miguu?Shein sasa nenda katoe mkono haraka.
Nawaza jinsi Lowassa alivyo na moyo wa kipekee na wa kiuvumilivu. Huyu Lowassa ni mtu wa tofauti sana, tunatakiwa tumpe heshima yake kama taifa. Sio mtu wa vinyongo, ni mtu anayependa amani na ana focus mbele.Kutoka Unguja Mh. Rais wetu mpendwa anaongea.... Rais kamshangaa Dr. Shein kwa jinsi gani anaweza kusaini makaratasi ya mtu anayekataa kumpa mkono
Kupatwa kwa mweziShein sasa nenda katoe mkono haraka.
Shaka amsimanga Maalim Seif kutibiwa nje ya nchiKumbe Mupo Nyie Magu-Fanboys ambao Ni BrainWashed??
Kabla Ya Kunita mimi Muongo Je Wewe Umekuja Na Evidence Gani Hapa Kuback up Your Claim??
I guess Kama Unavyodai Alipewa Gharama Za Matibabu Kwenda Kutibiwa India! Basi Zipo "Written documents" ZiUpload Hapa Uproove Kama Wewe Mkweli na Mimi Muongo!!
Usiwe Unakariri Yasemwayo Majukwaani Wakati Huwezi Kuyathibitisha Ukweli Wake dogo.
You kid bring Your Damn Proof to back up Your Fu**kin Claim, Otherwise get the hell out of my fu**kin Comments!
atakuwa na yy hajui, kama alisema sadamu ni wa libya, vitu hvyo vidogo hataweza kujua kweli?Yule Aliyekuwa Mpaka Leo Hajaamini Kama CCM wana Akili Ndogo (Narrow Minded) Kuliko Hata Kuku Basi Mkutano Wa Leo Unguja na Uzi Huu Unatosha Kumjuilisha Hilo!!!
Kuhusu Rais Shein Kusaini Kwa Ajili Ya Kumpatia Hela Za Kusafiri Nje Ya Nchi, Pamoja Na Matibabu
Muheshimiwa Magufuli Kalizungumza Hili Pale Alipowasoma Wale Hadhira (CCM) kuwa Akili Zao Ni Finyu Kiasi Ya Kwamba Ni Brainwashed na Ni Remote Controlled Kiasi Ya Kwamba Watashindwa Kujiuliza Anasaini Kwa Sheria/Katiba ipi??
Ni Kweli Maalim Seif Alikuwa Ni Waziri Kiongozi, Na Baadae Akawa Makamo Wa Rais!
Kipindi Hicho Cha UwaziriKiongozi/UmakamoRaisi ni Kweli Alikuwa Akisafiri Kwa Kutumia Fedha Ya Serikali Kwa Ziara Zote Za Kiserikali Kwasababu Katiba inamruhusu Kufanya Hivyo.
Lakini Baada Ya Kuachana Na Nyadhifa Zote Hizo Basi Hasafiri Kwa Ziara Za Kiserikali, Bali Anasafiri Kwa Safari Zake Binafsi au Ziara Za Kichama!
Na Safari Hizo Zote Anatumia Pesa/Nauli Yake na Wala Si Kutoka Kwa Shein!
Mheshimiwa Magufuli Usiwachezee Watu Akili Kiasi Hicho Ya Kuwa Shein Atowe Pesa Za Serikali Ampe Seif Akazitembelee Ughaibuni.
Yeye Akiwa Ni Kama Makamo Wa Rais Mstaafu Atakuwa Anazohuduma Zilizoainishwa Kwenye Sheria Ni Lazima Azipate Kutoka Serikalini! Lakini Swala La Kusafiri na Kutibiwa Nje Ya Nchi Hilo Maalim Seif Haitegemei Serikali Kifedha Bali Ni yeye Mwenyewe Anaouwezo Wa Kujifadhili.
Labda ingefanana ungelisima Wewe Muheshimiwa Magufuli na Mheshimiwa Shein Mushirikiane Na Balozi Za Nchi Mbali mbali ili Anyimwe Viza Za Kusafiria Kama itawezekana! Na hilo Ndiyo lililo kwenye uwezo wenu.
Ulijua atatoa boko!!!! Mbavu zangu!!!!
!
kila mtu huwa na busara kabla hajaongea chochote kile. Nilijua tu atatoa boko ila boko gani ndio nilikuwa sijui.
Wabunge wa CCM au wepi hao?Nawaomba wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano waungane kutoa hoja ya kumshitaki Rais kwa kutumia kipengele cha kutokuwa na uwezo wa kuiongoza nchi, au kipengele cha kukiuka maadili ya uanzishwaji wa vyama vya siasa.
ndio unamjua leo, sisi tangu kampen zake tunajua ni mtu wa bokoRais Magufuli anajitia tu aibu ktk ziara hii ya ZNZ
Wala alikua hajui nn akawaambie wakazi wa Unguja na Pemba
Lolote linalokuja yy anaongea
Suala si kmfanya chochote. Mpimeni kama yuko sawa, msimshabikie tu. Mnamkumbuka mfalme Sauli alivyokuwa alipoachwa na roho wa Mungu?utamfanya nini rais ukiweka pending makaratasi yako?
watanzania tusio na hatia tunaendelea kuisoma nambaRais anaendeleza mgawanyiko
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo.
Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?
Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo.
Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?
Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.