Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Kutoka Unguja Mh. Rais wetu mpendwa anaongea.... Rais kamshangaa Dr. Shein kwa jinsi gani anaweza kusaini makaratasi ya mtu anayekataa kumpa mkono
Nawaza jinsi Lowassa alivyo na moyo wa kipekee na wa kiuvumilivu. Huyu Lowassa ni mtu wa tofauti sana, tunatakiwa tumpe heshima yake kama taifa. Sio mtu wa vinyongo, ni mtu anayependa amani na ana focus mbele.
Yupo very strategic. Ni mtu mwenye kutafuta njia, sio kuangalia mabaya yaliyopita/alivyotendewa siku za nyuma.

Kiukweli tukiacha tofauti za kisiasa, this man deserves to be honoured sana.
Mtanikumbuka kwa hili andiko.

Naomba pia washauri wawe wanamwambia bwana mkubwa anapokosea, na ikibidi turudie utaratibu wa kuandikiwa hotuba. Tutalinusuru taifa na majanga yanayoweza kutokea.
Tusipende kuongea kwa hisia, hili litatugharimu kama taifa jamani.
 
Awamu hii, Nia/ chuki ya wanzanzibar kujitoa kwenye Muungano, huenda ikaongezeka zaidi...!!
 
Shaka amsimanga Maalim Seif kutibiwa nje ya nchi

Maalim Seif akiri kufanyiwa hisani ya matibabu na viongozi wa CCM
 
atakuwa na yy hajui, kama alisema sadamu ni wa libya, vitu hvyo vidogo hataweza kujua kweli?
 
Nawaomba wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano waungane kutoa hoja ya kumshitaki Rais kwa kutumia kipengele cha kutokuwa na uwezo wa kuiongoza nchi, au kipengele cha kukiuka maadili ya uanzishwaji wa vyama vya siasa.
Wabunge wa CCM au wepi hao?
 
Rais Magufuli anajitia tu aibu ktk ziara hii ya ZNZ
Wala alikua hajui nn akawaambie wakazi wa Unguja na Pemba
Lolote linalokuja yy anaongea
ndio unamjua leo, sisi tangu kampen zake tunajua ni mtu wa boko
 
anazidi kuongeza chuki na mipasuko kwa wazinzbar, kwani walishaanza kusahau sasa anawatonesha vidonda vyao
 
Yeye anamshangaa Shein kusaini makaratasi ya mtu baada ya kukataa kumpa mkono, lakini hashangai yeye aliyejitoa kafara ya kupambana na mafisadi kushiriki ufisadi wa boti bovu la bilioni nane kisha kujikausha kama siye vile, hashangai kuigwaya Lugumi hata kuiogopa kuitaja tu!!! Kweli hawakukosea waliosema ukistaajabu ya Mussa......

 
Nimuona akisema asingesaini fedha zake!! Aisee fedha za walipa kodi ni zako!! Tafadhali Magu usimharibu huyo muungwana! He is civilized you know!!
 
Wale waliokuwa wanaandika hotuba za Dr Kikwete na wajitokeze waliko waifanye kazi yao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…