Mzee_Wa_Conspiracy
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 667
- 352
Na Kabla ya kuwa Makamo wa Rais Mstaafu alikuwa Waziri kiongozi MstaafuMimi Siku Zote Huwa Napenda Kusema Hawa Magu-Fanboys wamekuwa Brainwashed Kiasi Ya Kwamba Jawajui Kutofautisha Kati Ya "Sheria" na "Utashi".
Hivi Hawajui Kama Yule Ni Makamo Wa Rais Mstaafu??
1) Yeye Maalim Seif Kukataa Mkono ni Utashi Wake.
2) Lakini Shein Kusaini Si Hruma yake wala Utashi Wake Kama alivyodai Magu, Bali Ni Sheria kamili.
Sasa Ni Jambo La Ajabu Raisi Kuacha Sheria Akafuata Utashi Wake Kisa Tu Kasifiwa Jukwaani.
Mimi sifikilii kama hawamshauri ila anataka kuichoma nchi ima anajua au ajuiJamani huyu mtu akiachiwa atazidi kuivuruga nchi, ana matatizo makubwa
Uko sahihi maana country formed by different familyGiza lipo kwenye familia yako na wanao. Si kwingine. Watu wanaona mianga teleee sasa
NYERERE katuachia katiba mbovu sana, alisema lazima rais aape kuilinda katiba lakini kakaa kimya kwa atakayeshindwa kuilinda tumfanye nini.Kama lile la kupatwa kwa jua?
Hata kama Magufuli kwa unasaba ni ndugu yangu lakini maneno yake hayana break. Ajifunze kidogo kupangilia maneno. Anaonyesha ni kama mtu katili asiyeweza kusamehe na asiye na huruma. Yale sio maneno ya kuongea. Anatumia nguvu sana.Seif alikuwa anashawishi wananchi za Zanzibar wasilipe kodi anasahau hayo mafao anayopata ni kodi za wananchi pia anazunguka Zanzibar wanyimwe misaada wakati huo huo yeye bado anapokea mafao kazuia wanachama wa cuf kugombea nafasi za uwakilishi lakini yeye anaendelea kupata mafao kiukweli hata mimi namshangaa Shein
Acha tujigawe, kila mtu akae kwake.Rais anaendeleza mgawanyiko
Dr. Shein anajua urais anaoendelea nao kwa sasa ni wa kulazimisha/ kulazimishwa tu.Shein sasa nenda katoe mkono haraka.
Message sentKwani anadhani Dr. Shein anasaini stahiki za mpinzani wake (Maalim Seif) kwa hiyari yake? Huyo baba Jesca hajui kwamba kuna taratibu za kisheria zimewekwa na zimetajwa kwenye katiba kuhusu stahiki za wastaafu level ya Maalim Seif au ndo anadhihirisha ile tabia yake ya kutofuata utawala wa sheria?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio madhara ya KUOKOTA urais
Yeah, he never means what he says, Magufuli anachokisema huwa anamaanisha kinyume chake. Akisema nakupenda anataka kukuua!... viongozi wenyewe ndio kama hawa. Anajidai kuwambia wazanzibari waungane halafu anawachochea. Usanii.