Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Mimi Siku Zote Huwa Napenda Kusema Hawa Magu-Fanboys wamekuwa Brainwashed Kiasi Ya Kwamba Jawajui Kutofautisha Kati Ya "Sheria" na "Utashi".

Hivi Hawajui Kama Yule Ni Makamo Wa Rais Mstaafu??

1) Yeye Maalim Seif Kukataa Mkono ni Utashi Wake.
2) Lakini Shein Kusaini Si Hruma yake wala Utashi Wake Kama alivyodai Magu, Bali Ni Sheria kamili.

Sasa Ni Jambo La Ajabu Raisi Kuacha Sheria Akafuata Utashi Wake Kisa Tu Kasifiwa Jukwaani.
Na Kabla ya kuwa Makamo wa Rais Mstaafu alikuwa Waziri kiongozi Mstaafu
 
Seif alikuwa anashawishi wananchi za Zanzibar wasilipe kodi anasahau hayo mafao anayopata ni kodi za wananchi pia anazunguka Zanzibar wanyimwe misaada wakati huo huo yeye bado anapokea mafao kazuia wanachama wa cuf kugombea nafasi za uwakilishi lakini yeye anaendelea kupata mafao kiukweli hata mimi namshangaa Shein
Hata kama Magufuli kwa unasaba ni ndugu yangu lakini maneno yake hayana break. Ajifunze kidogo kupangilia maneno. Anaonyesha ni kama mtu katili asiyeweza kusamehe na asiye na huruma. Yale sio maneno ya kuongea. Anatumia nguvu sana.
 
Nimeipenda hii comment ya Jussa...ni kweli kabisa Zanzibar ina Tarekh ..ina historia yake..ina ustaarab wake...Zanzibar haikuanza juzi na jana alipokuja mjerumani...na kuwambia huu ni Kilmanjaro au Muingereza akawambia hili ni ziwa Victoria...
Utaicha kama walivoiacha

"Hii ndiyo Zanzibar! Kwa asiye Mzanzibari atapata tabu sana kuielewa. Walikuja wengi na wameiwacha pale pale. Na wewe umekuja, utaondoka, Zanzibar utaiwacha pale pale. Ndiyo raha ya watu wastaarabu wenye taarikh na wanaojitambua! Huwaondoi kwenye jambo lao hadi litimie bi idhni Llaah!"


 
Hii awamu hii drama Sana,tangu awamu ya kwanza ya duka ya ushirika ila hii tutaona vituko vingi.
 
Watu wanafiki sana tena haswaa hawa wajiitao wapinga kila litendwalo na uongozi was serikali ya awamu ya tano,hv rais kakosea kitu gani? Je,ilikuwa ni busara kwa seif kuukataa mkono wa rais mbele za watu na alikuwa anatoa picha gani kwa kadamnasi?

Alifanya udhalikishaji na hyo ni kutokana na dhana yake kuwa hataki kukubali kuwa shein ndiye rais wa zanzibar,sasa Leo hii na mijidevu yake kama kiota cha mwanchoko anapeleka fomu zake zisainiwe na MTU asiyemsadiki kuwa rais wake that is totally foolish upon him,next time ajifunze kiburi sio maunguana na nyie sio kila jambo mnalisimamia vidole ikiwa hata halina tija.
 
Rais anaendeleza mgawanyiko
Acha tujigawe, kila mtu akae kwake.
Pemba iwe inchi, unguja nchi na sisi wa tuliotengwa huku bara tunakuwa nchi.

Mtukufu mfalme wa wafalme kaza buti kila mtu akae kwao, pochi ya mzungu hiyo umeilokota hairudi mara mbili tumia cheo hicho baba
 
Binafsi naona Tanzania haina haja ya kuwa na katiba katika awamu hii ya tano.Tumepoteza bure pesa ya umma kuanzisha mchakato wa katiba.Utashi wa kufata katiba haupo katika awamu hii.
 
Shein sasa nenda katoe mkono haraka.
Dr. Shein anajua urais anaoendelea nao kwa sasa ni wa kulazimisha/ kulazimishwa tu.
Ampatie Mwenyekiti wa Tume "huru", Jecha nishani yake kama alivyoshauriwa na Rais Magufuli.

sh3.JPG.jpeg

IMG_20160818_115042-1024x576.jpg

Tembelea hapa Link Wananchi waiga picha ya Maalim Seif aliyokataa kumpa mkono Rais Dkt. Shein.



3.JPG

2.JPG
 
Tuliompa kura Lowassa tuliona mbali.
This oldest fashion leadership is a disgrace.
 
Kwani anadhani Dr. Shein anasaini stahiki za mpinzani wake (Maalim Seif) kwa hiyari yake? Huyo baba Jesca hajui kwamba kuna taratibu za kisheria zimewekwa na zimetajwa kwenye katiba kuhusu stahiki za wastaafu level ya Maalim Seif au ndo anadhihirisha ile tabia yake ya kutofuata utawala wa sheria?
Message sent
Afadhali mko wachache wenye moyo wa kusema the dark side of mungu mtu
 
... viongozi wenyewe ndio kama hawa. Anajidai kuwambia wazanzibari waungane halafu anawachochea. Usanii.
Yeah, he never means what he says, Magufuli anachokisema huwa anamaanisha kinyume chake. Akisema nakupenda anataka kukuua!

Magufuli anasema Uchaguzi umekwisha. Halafu anapanda jukwaani kumpigia posthumous campaign Makame Mbarawa ambae alishapigwa chini jimbo la Mkanyageni. Anawaambia watu kwa nini hamkumchagua ubunge Mbarawa, sasa hebu nambie, huyu Mbunge wa sasa unataka watu wafanye nini, wam isolate? Wasimpe ushirikiano? Huo si ndio uchochezi wenyewe? Utasemaje uchaguzi umekwisha halafu unawakandya wapiga kura kwa kuchagua mtu fulani????

Makame Mbarawa hata wakilazimisha he does not have a very bright future in national politics, not least because he hails from Pemba, which is a C.U.F. stronghold. Waziri Mkuu hawezi kwa sababu lazima uwe mbunge wa kura.

Labda wamfanye kama Shein wambebe bebe C.C.M. huko awe Makamu baadae Rais wa Zanzibar. Shein alishawahi kushinda ubunge Pemba? I don't remember.
 
Inasikitisha...
Maneno yaliyosemwa leo huko zanzibar ni ya kuongeza chuki na fitina juu ya wazanzibar ili wakose umoja watawaliwe milele...

Kusalimiana kwa kupeana mkono si lazima...ni sheria ipi inasema lazma umpe mkono rais wakati mkisalimiana?
Sitahiki za malim seif na viongiz wote wa juu zipo kisheria na wahusika wanatakiwa kusaini kwa kuwa ni wajibu wao ..mafao yao ni sheria imewapa siyo kwa hisani ya mh rais...

Ishu ya malim kutotoa mkono ni very personal haina uhusiano na kazi...

Hivi ni ujumbe gani anapeleka kwa wafanyakazi wa umma? Kwamba saiv ukikosana na mtu kwenye mambo ya kijamii basi tuhsmishie na kazini...mfano mkipishana na kauli na hakimu msibani basi siku ukiwa mahakamani asikutendee haki..
Ukihitilafiana na daktari mtaani basi daktari akunyime huduma siku ukizidiwa hospitalini...

This forest is not for any monkey
 
Back
Top Bottom