Mzee_Wa_Conspiracy
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 667
- 352
Na Kabla ya kuwa Makamo wa Rais Mstaafu alikuwa Waziri kiongozi MstaafuMimi Siku Zote Huwa Napenda Kusema Hawa Magu-Fanboys wamekuwa Brainwashed Kiasi Ya Kwamba Jawajui Kutofautisha Kati Ya "Sheria" na "Utashi".
Hivi Hawajui Kama Yule Ni Makamo Wa Rais Mstaafu??
1) Yeye Maalim Seif Kukataa Mkono ni Utashi Wake.
2) Lakini Shein Kusaini Si Hruma yake wala Utashi Wake Kama alivyodai Magu, Bali Ni Sheria kamili.
Sasa Ni Jambo La Ajabu Raisi Kuacha Sheria Akafuata Utashi Wake Kisa Tu Kasifiwa Jukwaani.