HOMBOY
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 1,431
- 925
kwani anaposaini ni fadhila au ni haki yake kikatiba na sheriaHata mimi nisinge saini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani anaposaini ni fadhila au ni haki yake kikatiba na sheriaHata mimi nisinge saini.
Katiba na sheria ndiyo msingi wa uongozi wa taifa.Acha nchi inyooshwe mlizoea ujingaujinga, kwa sasa ujinga hauna nafac na mtavmba mpaka mtapasuka.
Wewe kuendelea kuosha choo hapo lumumba upate buku 7 usife njaa hata mimi ningesaini wewe kama nani?Hata mimi nisingesaini hayo karatasi ya mtu wa aina hiyo.
Matatizo yapi wakati kuna majeshi!Dr. Shein akifuata ushauri ule, ataiingiza zanzibar na wazanzibari wenzake kwenye matatizo makubwa
Unaweza jikuta ww ndie umenyooka, wenzio wako vile vile!!!Huyu ndiye Rais muafaka kwa wakati muafaka na kwa kuirudisha nchi kwenye line. Mtanyooka tu hiyo bembeleza bembeleza ndoo imeifikisha nchi mahali hapa.
Hata kama ila ikumbukwe kwambwa wahenga husema muugwana havimbi mashavu. Kilichokusudiwa ktk msemo huo ni kwamba kukasilika ni moyoni na, sio kila mtu afahamu hasira zakoSeif yupo sahihi maana alipokonywa ushindi wake halali wa Uraisi kwaiyo inakuwa inafiki kumpa mkon mtu ambaye ujamsamehe
Sawa na wewe unaona sawa sheria zivunjwe kirejareja hovyo!! Kwani Magu hana namna nyingine ya kushughulikia migogoro badala ya kutoka povu kama siye?!! Inamuharibia huo siyo urais
That is what we always say "newz"
shangaa,Nikifa nitakuwa rais wa malaika mbinguni
Alichoongea JPM kuwa kama angekuwa yeye ndiye aliyenyimwa kupewa mkono na Maalim wakati wa msiba wa Aboud Jumbe na yeye asingesaini malipo ya pensheni ya Maalim Seif, hiyo ni 'pure' ulevi wa madaraka.Katika imani ya dini ya kiislam imekatazwa kabisa kulipiza ubaya kwa ubaya, Ni dhambi kulipiza kisasi kwa mtu ambaye unahisi kua hajakutendea jema.Katika kitabu kitukufu cha Quran inatamkwa kua ni mwiko kabisa kulipa kusasi.Sijui vitabu vingine vinasemaje katika hilo lakini naamini sio jambo njema na haviruhusu hali hiyo.
Inaruhusiwa kutompa mkono mtu ambaye unahisi amekiuka maamrisho ya Mwenyezi Mungu,na ni mtu ambaye amejiandaa kuitia mikono yako katika Shari! Si kosa kukataa kumpa mkono yeyote ambaye wewe unahisi anakula haramu huku akijua kua haramu ni kosa.
Ikumbukwe kua Suala la kumhudumia Maalim Seif sio la Dkt Shein wala Rais Magufuli bali ni utaratibu wa kikatiba. Seifu analazimika kukubali kuhudumiwa na kinachotokana na katiba ya wananchi wa Zanzibar, Dkt Shein naye analazimishwa na katiba kufanya hivyo maana pengine kwa nafsi yake asingekubali.Anayemtunza Maalim Seif kama waziri kiongozi na Makam wa Rais mustaafu ni Wananchi wa Zanzibar na sio Dkt Shein.
Kwahiyo kusikiliza maneno aliyoyasema Rais Magufuli tutapandikiziana mbegu za ubaguzi,Chuki na kuendelea kusababisha utengano katika jamii. Dkt Shein anatakiwa kuangalia imani yake inasemaje na sio misukumo ya kisiasa.Sisi sote ni ndugu, taifa ni moja tuepuke kauli za kutubagua.
Alichoongea JPM kuwa kama angekuwa yeye ndiye aliyenyimwa kupewa mkono na Maalim wakati wa msiba wa Aboud Jumbe na yeye asingesaini malipo ya pensheni ya Maalim Seif, hiyo ni ulevi wa madaraka.
Suala la pensheni ya Maalim ni suala lililo ndani ya Katiba ya nchi, kwa hiyo siyo suala la Rais aliyeko madarakani kutaka au kutotaka.
Kwa hiyo ni takwa la kikatiba Maalim kulipwa hiyo pensheni.
Kwa muendelezo wa matamko wa matamko mbalimbali ya JPM ya kuisigina Katiba ya nchi waziwazi ni uthibitisho mwingine kuwa Katiba ya nchi ingawa aliapa kuitii na kuilinda, lakini kwake yeye anaiona si lolote wala chochote bali yeye ndiye EACH and EVERYTHING.
Kwa kweli watu wengi tunashindwa kumuelewa JPM anaposema mtu mkweli ni mpenzi wa Mungu na rai yake ya mara kwa mara kwa watanzania kuwa wamwombee kwa Mungu huwa anamaanisha nini?sasa mbona yeye anasema msema kweli ni mpenzi wa Mungu, ni Mungu wa alphabet inayoanzia na m au M?