Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Duh, hii hatari sana!
 
Hata me sisainiii

kuna sheria inasema ni lazima mpeane mikono? lakini hicho anachokisaini kiko kwenye sheria. mkiambiwa mkuu anatumia mamlaka yake kwa utashi wake na sio sheria isemavyo mnakataa. hapa ndio tabia ya mkulu inapoonyesha kwake sheeia sio kitu muhimu sana bali ni kile akipendacho yeye ndio sheria.
 
Ni aibu kwa kweli kwa raisi kutoa kauli kama hii.. Ni aibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…