Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Acha nchi inyooshwe mlizoea ujingaujinga, kwa sasa ujinga hauna nafac na mtavmba mpaka mtapasuka.
Hakuna nchi yoyote ya kiafrika iliyonyooka na hii haitakuwa ya kwanza.
Kwanza anyooke anaepinda sheria. Ikiwa juu hakujanyooka sembuse ...
 
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshauri Rais wa Zanzibar kuwa kwasababu Shein ndiye anayesaini stahiki za yule aliyemkatalia kumpa mkono siku ya mazishi ya mzee Jumbe basi Shein naye asisaini tena stahiki za huyo mtu.

Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?

Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.
Mkuu hivi katiba kwa sasa bado inapewa stahiki yake? Kwani wanacholilia wapinzani ni kitu gani kila kukicha?
 
Duh! Aisee viongoz ni vizuri wasiwe na hasira kwani uongoz ni busara ndizo zinatakiwa zaidi ktk kufanya maamuzi... Zaidi ya hapo ni kuongeza tatzo na si kutatua tatizo..
 
Kutoka Unguja Mh. Rais wetu mpendwa anaongea.... Rais kamshangaa Dr. Shein kwa jinsi gani anaweza kusaini makaratasi ya mtu anayekataa kumpa mkono
Kwahiyo hayo maalipo ya huyo maalim seif ni hisani ya dr shen?
 
Duh! Aisee viongoz ni vizuri wasiwe na hasira kwani uongoz ni busara ndizo zinatakiwa zaidi ktk kufanya maamuzi... Zaidi ya hapo ni kuongeza tatzo na si kutatua tatizo..
Viongozi wa sasa busara imewekwa pembeni ni Jazba na visasi tu
 
Hatari sana..,...nafikiri akina lowasa,sumaye watanyanyasika sana kupata haki zao,wawe wepesi kuuambia umma endapo itatokea,mbona hii ni haki ya kisheria!! Kulikoni!!! Sheria yenyewe si ya muungano!!
Kikubwa ni katiba kuheshimiwa tu lkn kama katiba haipewi heshima yake hayo tuliyosikia zenji basi hata huku bara tutayasikia
 
Mwendo wa Kukomoana mwanzo mwisho, Kwa kauli hizi hata Halmashauri zinazoongozwa na Upinzani zijipange.....

Akae akijua Huu Mchezo hauitaji Hasira, Vilevile ajijengee sera ya "Kutolipiza Kisasi"
 
Ninapatwa na mashaka mengi kuwa pengine kuna wakati bob anakuwa sio yeye yaani akili yake inapata intruders. .na hili linasemwasemwa
Hakika lisemwalo lipo ukiwa na idea ya saikolojia kuling'amua hilo ni rahisi na utajua nini kinamkumba
 
Kwani anadhani Dr. Shein anasaini stahiki za mpinzani wake (Maalim Seif) kwa hiyari yake? Huyo baba Jesca hajui kwamba kuna taratibu za kisheria zimewekwa na zimetajwa kwenye katiba kuhusu stahiki za wastaafu level ya Maalim Seif au ndo anadhihirisha ile tabia yake ya kutofuata utawala wa sheria?
Mlifikiri harakati za UKUTA zilikuwa hazina maana? Magu na katiba wapi na wapi?Forget about katiba na sheria kwa magu. Yeyd anachojua ana poli na jeshi kuifanya Tanzania anayoitaka. So we wait and see
 
Back
Top Bottom