Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Kwa maana nyingine haamini katika utawala wa sheria..shein anasaini kwa mujibu wa sheria si kwa matakwa yake binafsi
 
Nafikiri hupo sahihi, laweza kuja tokea tena hapa Africa, kama si kwetu.
 
Huyu ana nia mbaya na kuwachonganisha Wazanzibar tu, kauli zake zote ni za ovyo kwa wazanzibar sio za kuunganisha ni za kuwagawa ili aendelee kuwatawala.

Mkuu mbona wenyeji wa huko wanalijua hilo ndio maana wao wanamuitaga '********'....
 
Hakuna kitu kama hicho ni sawa na kusubiri meli ubungo!!
Akiwa Pemba aliwambia haoni haja ya wao mke na mume kununiana kisa siasa na wajiepushe na mambo ambayo yalitokea Libya leo anaongea kinyume na kuikana kauli ya jana ya kuwaasa watu wawe na umoja na mshikamano.
 
Maskini Magu afadhali asingekuwa Rais ameharibu kila kitu!! tumemwona katika udhaifu wote. JK welcome back awamu ya tatu yako
 
Kama ni kweli kilichoandikwa hapa bac NAMUOMBA CHONDECHONDE Mh UTAJENGA uadui Mkubwa sana ktk jamii yetu ya Wa TZ kwani inaweza kujenga HISIA ZA VISASI kwa miaka ijayo ambayo itakuwa HATARI sana! Kvp kwa mfano baada ya kipindi chake cha miaka 10 kikiisha ikafika nayeye akataka APEWE STAHIKI zake na mwenye kusaini AKAKATAA kwa ANAVYOJUA yeye jee HUONI kama ITAKUWA HATARI SANA? MUNGU IBARIKI TANZANIA!
 
Ninapatwa na mashaka mengi kuwa pengine kuna wakati bob anakuwa sio yeye yaani akili yake inapata intruders. .na hili linasemwasemwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…