Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Mimi Namkumbusha Rais Magu tu Kuwa Ubabe Wake Na Vitisho Hajavifikia Hata Asilimia 2.5% vya Aliekuwa Rais Wa Zanzibat Dr. Salmin Amour Juma dhidi Ya Wazanzibari/Wapinzani.. Na Hatimae Alishinfwa Na sisi Tumeendelea Kusurvive Na Mpaka Tumedevelope Resistence Ya Vitisho Vyao..
Kwahiyo Asifikiri Sisi Ni Watu Wa Kutishwa Jukwaani..
 
Sema unashindwa wewe sip wengine. Na tunasema aongeze speed. Hii ni ndogo wajameni. Tutafika lini uchumi wa kati kama tukisuasua ?
Kwa matamko hayo,kwa kupandikiza chuki hivyo,kwa visasi hivyo kweli tutafika uchumi wa kati aaah haaa
 
Jamani huyu mtu akiachiwa atazidi kuivuruga nchi, ana matatizo makubwa
So unataka nchi upewe wewe ili uifilisi. Mungu yupo pamoja na Taifa. Mtasema sana lakini hamtafanikiwa
 
Kwa matamko hayo,kwa kupandikiza chuki hivyo,kwa visasi hivyo kweli tutafika uchumi wa kati aaah haaa
Chuki iko wapi uliyoiona. Mbona aliyekataa kumpa mkono rais hamumsemi kama anapandikiza chuki. Acheni upuuz.
 
Mungu alishaitazama tz ndio maana akajibu maombi ya wengi. Kutupa rais anayeweza kutumbua mafisadi na wezi kupitia makontena hewa na wafanyakazi hewa. Unadhani ni uwezo wa binadamu pekee
Wewe utakuwa ni mwanaLUMUMBA.
 
Ndio kitu pekee ulichokiona cha muhimu alichosema Rais hicho??

Nimeangalia habari ktk TV Stations nyingi, karibu zote zimenukuu kipande hicho pekee!!

Na labda kidogo ile ya fyoko fyoko na hiiiii kisha ikafutiwa na maneno ya lugha yake ya kisukuma, sikuelewa maana yake.....

Mzee wetu huyu, kila akipanda jukwaani kuhutubia huwa ni lazima aache sokomoko la matamshi yake!!

Hakuna lugha nyingine rahisi ya kulielezea hili zaidi ya kusema, hatuna kiongozi hapa zaidi ya mtu flani ambaye huibuka na kuzungumza mambo asiyoyajua kikamilifu. Mojawapo ni hili...

It is obviuosily, hakujua anazungumza nini, vinginevyo wana Lumumba watuambie kuwa, huyu bwana mkubwa bado ana hangover ya hotuba za kampeni kuombea kura ambazo mara nyingi zimejaa ulaghai na uongo mwingi!!
 
Sorry mtoa mada,ili iitwe habari inatakiwa ikidhi vigezo vipi?
 
Chuki iko wapi uliyoiona. Mbona aliyekataa kumpa mkono rais hamumsemi kama anapandikiza chuki. Acheni upuuz.
Ndio tatizo la upinzani wa Tanzania, kosa likifanywa na upinzani, Wanapongez, ila serikali ikikaza wanalaum sana
 
Shyshii
Sasa kamanda wewe ambaye huna pamba masikioni umegundua nini. Tueleze details ili nasisi tuelewe. Naona mna mashambulizi kwa mtu bila justification yoyote. Nyinyi ndio maadui wa maendeleo hata Mwl. Nyerere alisema
 
Pamoja na ukoloni tangu that fate full day ya Muungano miezi miwili baada ya Tanganyika sponsored mapinduzi Zanzibaris hadi leo hii have not succumbed to uonevu.We walk tall and proud.
 
Back
Top Bottom