cha tabora
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 424
- 208
Sasa kuna lipi la maana alilosema????Ndio kitu pekee ulichokiona cha muhimu alichosema Rais hicho??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kuna lipi la maana alilosema????Ndio kitu pekee ulichokiona cha muhimu alichosema Rais hicho??
Sehemu tofauti za hotuba yake zinakinzana sijui anatuma ujumbe gani kwa wanao tafakari hotuba zake.Ivi Magu alienda kuwaunganisha Wazanzibari kweli ?
RAIS: hakuna mpinzani atatia mguu katika serikali yangu..
(sio kauli ya kibaguzi? lakini kwani Mrema vepe ?au kamsahau ?)
RAIS: huyo aliekataa kisima chake kutumiwa na watu wa chama fulani, mngemtumbukiza kisimani..
Na je aliekataa wapinzani kuingia kwenye serikali yake ?
RAIS: huwezi kukataa mkono wangu halafu nisaini stahiki zako..
Na je waliomzomea Mbeya, ndio atawatenga ?
Yule anayegoma kusalimiana ndio sio mshari?Jamaa ni mshari-asilia. Anapenda ugomviugomvi.
Umekurupuka mkuukwahiyo Jecha ni Mungu? acheni kutafsiri maandiko huku hamtendi haki.
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo.
Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?
Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.
kwani ww ninani si mpiga gongo tu hizo ndio kauli za mbegeHata mimi nisingesaini hayo karatasi ya mtu wa aina hiyo.
Hata kitendo cha kumnyima mtu 'salamu' ni cha kishetani, kina ashiria shari !Hata yeye hajui kuwa sio vyote vizuri anavyovifanya vinatumiwa na wanaompenda tu?
Hata mahasimu wake wanavitumia. Hata Mungu huwanyesha Mvua na wale wa shetani wavune japo watayatumia mavuno hayo kushukuru shetani kuwa kawabariki. !!
kuna CCM lisilokuwa fisadi? kama unalo litaje japo mmoja tuRais kama Magufuli ndo anafaa nchi hii kama Tanzania,watu walizoea kubembelezwa sasahivi ni ubabe tu asiye taka ahame nchi au ahamie kwa mafisadi..
Yeye kugoma kutoa salamu mbele ya hadhira tena msibani mahali watu wanapotegemea kufarijiana hiyo sio chuki !?? .......huwa mnajipa muda wa kufikiri ?Rais anahubiri chuki kiasi hiki? Afrika isahau maendeleo. Mungu hawezi kujalia nchi yenye watu wenye chuki kiwango hiki.
Kwani hao walio 'nuna' na hawatoi mikono walipanga hayo 'mafuta' kumpa nani !??Wagawe uwatawale ndio anachofanya. Anataka mafuta ya Zanzibar haraka lazima awakunekune watu fulani ili wamruhusu kirahisi.
Hao hao watu gani ! ......kwani kuna watu wengine ?rais wa watu gani huyu
mitano labda angenyimwa uwenyekiti ila bhas hata waalimu wanachukia na policeMiaka kumi kivipi?? Hiyo mitano yenyewe sijui... Kwa style hii miaka kumi??..
Seif yupo sahihi maana alipokonywa ushindi wake halali wa Uraisi kwaiyo inakuwa inafiki kumpa mkon mtu ambaye ujamsameheunashangazwa na aliesema naneno tu wala sio matendo mimi nilitalajia ushangazwe na maalim sefu muumini wa dini ya kiislam kukataa mkono wa umuumini mwenzie kwa swala dogo tu cheo huku akijua wazi kwamba ktk kupeana mikono kuna kusemehewa mazambi yao na kupotea chuki baina yao hatimae yaweza kuwa sababu ya mafikio mema
Juzi Mamvi kampa mkono JPM wamempongeza na kumpamba sana, ila Maalim anapongezwa kwa tendo lake lisilo la kiungwana. Looh, huu uungwana hata hauleweki. Natamani enzi za Komando Salmini zirudi, ndipo mziki ungekuwa mtamu.Yeye kugoma kutoa salamu mbele ya hadhira tena msibani mahali watu wanapotegemea kufarijiana hiyo sio chuki !?? .......huwa mnajipa muda wa kufikiri ?
Jitahidi mara moja moja uwe unaandika point.Kwani lowasa waliposalimiani alikuwa hana akili?
Kumbe alikuwa anatania.sikujuwaKWAHIYO UNASEMA KUWA KWA KAULI HIYO YA RAIS BASI NCHI INAKWENDA KUANGAMIA...IS IT?
HILO NDILO AMBALO MMEONA LINAANGAMIZA NCHI NA SUALA LA SEIF KUTOMPA MKONO RAIS SHEIN MLIONA NI JAMBO LENYE KHERI KWA MUSTAKABALI WA NCHI.
RAIS WETU MPENDWA MARA NYINGI AKIWA ANAZUNGUMZA HUWA PIA ANAIFURAHISHA HADHIRA YAKE KWA KUCHOMEKEA MANENO YA UTANI...NYIE BAVICHA MNAKAA ATTENTION KUSIKIA KAULI GANI ANAITOA MJE KUPOTOSHA HAPA KWA KUSEMA ANAMAANISHA....
RAIS JPM TUNAMFAHAM VIZURI NA TUNAIFAHAMU DHAMIRA ALIYONAYO KWA TAIFA LETU YA KUONA KILA MTU ANAISHI MAISHA MAZURI YENYE MATUMAINI. KUWEPO WATU WA KUMPINGA NA KUPOTOSHA HAIEPUKIKI KWAKUWA WAPO WATU AMBAO DHAHIRI HAWATAFURAHISHWA NA NIA YA SERIKALI YAKE YA KUPAMBANA NA RUSHWA NA UZEMBE KAZINI. WATU HAO NI WACHACHE UKILINGANISHA NA WANYONGE AMBAO TUKO WENGI NA TUNAMUUNGA MKONO...