James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
RIP 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mbona Umesema ni "pekee".Mwifwa
Kama ni hivyo atakuwa ni mwanaccm pekee mwenye uungwana!
Hebu jaribu ku-imagine, Jeshi la Polisi lilipiga marufuku hata uvaaji wa T/Shirt, zilizoandikwa We pray for Lissu!
Mpendae iko Unguja Zanzibar, ni Jimbo la mjini kabisa ukija Unguja. Njoo Dada nikutembeze Unguja ule urojo.Mpendae iko wp
Lissu hana shukrani aliendelea kuponda CCM hata Kama walimsaidia. Mbowe mwongo hakutoa chochote Hadi turky akawasaidia ndege ya rafiki zake akawahishwa Nairobi kwa matibabu zaidi Hadi leo kapona kwa msaada wa Wana CCM. Turky alitoa ndege alikuwa mbunge wa CCM chadema mlikuwa wapi?Apumzike kwa amani ndg Turki , bila shaka Lissu alipokuwa Zanzibar alisema nae chochote
Lissu Hana shukrani aliendelea kuponda CCM hata Kama walimsaidia. Mbowe mwongo hakutoa chochote Hadi turky akawasaidia ndege ya rafiki zake akawahishwa Nairobi kwa matibabu zaidi Hadi leo kapona kwa msaada wa Wana CCM. Turky alitoa ndege alikuwa mbunge wa CCM chadema mlikuwa wapi?
Mambo mengine mngewaelewa chadema mngewapiga mawe akina Mbowe. Wana CCM walitoa ndege kumuwahisha Lissu Nairobi, Mbowe na genge lake wakawa wanagombea kukaa Nairobi ili walipwe posho kukaa na mgonjwa Hadi Mke wa Lissu akakasirika.Mwifwa
Kama ni hivyo atakuwa ni mwanaccm pekee mwenye uungwana!
Hebu jaribu ku-imagine, Jeshi la Polisi lilipiga marufuku hata uvaaji wa T/Shirt, zilizoandikwa We pray for Lissu!
Hawa maccm ni mashetani ya aina yake, hata kuzuia kutomtakia kupona haraka kwa Tundu Lissu, alipojeruhiwa vibaya kwa risasi, katika tukio "lililopangwa"
Innalillah...
Ni hivi Majuzi Pale Uwanjani Zenji Alikuwepo Na Uso Bashasha Kwenye Ufunguzi Wa Kampeni wa dokta Mwinyi...
Duniani si nyumbani kwetu...Tutendeni Wema Jama!!
Mambo mengine mngewaelewa chadema mngewapiga mawe akina Mbowe. Wana CCM walitoa ndege kumuwahisha Lissu Nairobi, Mbowe na genge lake wakawa wanagombea kukaa Nairobi ili walipwe posho kukaa na mgonjwa Hadi Mke wa Lissu akakasirika.
Leo Turky kafariki Siri zinawekwa hadharani.
Alafu ww ndio ccmMpendae iko wapi?
Lissu aliposhambuliwa Watanzania wengi (wakiwemo CCM, CDM, CUF, ACT, wasio na vyama ,nk, akina Ndugai, Tulia, Ummy, Turky, nk) wali-react naturally kibinadamu kama binadamu mwadilifu anavyo-react kwa matukio ya nmana hiyo: walisikitika na kila mmoja akitafuta jinsi gani ya kuokoa maisha ya mhanga huyo! Ilikuwa ni baada ya siku chache bosi wao alipoonesha bila kificho kuwa hakufurahia kunusurika kwa mtu huyo, ndipo walipoanza nao kulazimisha moyo wa kishetani (ili wasipoteze ulaji wao) hadi kufikia kumfanyia dhihaka na hatimaye kumvua ubunge wake. Kumbuka kuwa ni Bw. Nyalandu mwana CCM pekee aliyesema liwalo naliwe nitaendelea kuonesha kujali na kulaani udhalimu huu, na matokeo yake ilibidi aondoke CCM!! Duniani kuna binadamu wanyama, ambao kila Jumapili au Ijumaa hutaka public iwaone kuwa ni watu wa Mungu lakini ni wanyama, ni wanyama, ni wanyama. Huwa natamani Mungu awape adhabu wakiwa bado hapa hapa duniani.Mambo mengine mngewaelewa chadema mngewapiga mawe akina Mbowe. Wana CCM walitoa ndege kumuwahisha Lissu Nairobi, Mbowe na genge lake wakawa wanagombea kukaa Nairobi ili walipwe posho kukaa na mgonjwa Hadi Mke wa Lissu akakasirika.
Leo Turky kafariki Siri zinawekwa hadharani.
Mambo mengine mngewaelewa chadema mngewapiga mawe akina Mbowe. Wana CCM walitoa ndege kumuwahisha Lissu Nairobi, Mbowe na genge lake wakawa wanagombea kukaa Nairobi ili walipwe posho kukaa na mgonjwa Hadi Mke wa Lissu akakasirika.
Leo Turky kafariki Siri zinawekwa hadharani.
Yaani wewe na ushabiki wako uliotukuka wa siasa za CCM hujui lilipo jimbo la Mpendae? Hapa naelewa kuwa kuna vitu mnavishabikia hata hamvijui vizuri.Mpendae iko wapi?
JamaniAendee tu kwani mlitaka afe nani? Angekuwa kijana ningepanic
Duh?Mpendae iko wapi?