Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo mengine mngewaelewa chadema mngewapiga mawe akina Mbowe. Wana CCM walitoa ndege kumuwahisha Lissu Nairobi, Mbowe na genge lake wakawa wanagombea kukaa Nairobi ili walipwe posho kukaa na mgonjwa Hadi Mke wa Lissu akakasirika.
Leo Turky kafariki Siri zinawekwa hadharani.
Innalillah...
Ni hivi Majuzi Pale Uwanjani Zenji Alikuwepo Na Uso Bashasha Kwenye Ufunguzi Wa Kampeni wa dokta Mwinyi...
Duniani si nyumbani kwetu...Tutendeni Wema Jama!!
Kweli kabisa mkuu, ni Magufuli aliyesababisha hadi Wabunge wakazuiwa kwenda Nairobi kumwona mgonjwa na wengine waliokwenda Kijenge kumuona Lema wakalazimika kujiuzulu uenyekiti wa Kamati za Bunge. Samia kipindi hicho alikuwa bado binadamu alikwenda Nairobi hospitali akiwa kwenye ziara ya kikazi, kabla ya siku hizi kuingiwa na Ushetani hadi kugeuka Izraili wa "Risasi 3".Lissu aliposhambuliwa Watanzania wengi (wakiwemo CCM, CDM, CUF, ACT, wasio na vyama ,nk, akina Ndugai, Tulia, Ummy, Turky, nk) wali-react naturally kibinadamu kama binadamu mwadilifu anavyo-react kwa matukio ya nmana hiyo: walisikitika na kila mmoja akitafuta jinsi gani ya kuokoa maisha ya mhanga huyo! Ilikuwa ni baada ya siku chache bosi wao alipoonesha bila kificho kuwa hakufurahia kunusurika kwa mtu huyo, ndipo walipoanza nao kulazimisha moyo wa kishetani (ili wasipoteze ulaji wao) hadi kufikia kumfanyia dhihaka na hatimaye kumvua ubunge wake. Kumbuka kuwa ni Bw. Nyalandu mwana CCM pekee aliyesema liwalo naliwe nitaendelea kuonesha kujali na kulaani udhalimu huu, na matokeo yake ilibidi aondoke CCM!! Duniani kuna binadamu wanyama, ambao kila Jumapili au Ijumaa hutaka public iwaone kuwa ni watu wa Mungu lakini ni wanyama, ni wanyama, ni wanyama. Huwa natamani Mungu awape adhabu wakiwa bado hapa hapa duniani.
Kajifukize mkuu! Usisahau barakoa na kunawa kila wakati kwa maji tiririka!Uchunguzi ufanyike kuhusu kifo chake
Naunga mkono hoja.Tundu Lisu na CHADEMA kwa UJUMLA,
"HUU NI MSIBA WETU"
"RIP" MPENDA HAKI.
Mzee Kolimba aliposhika kile kipaza sauti alikuwa akiishiwa nguvu mpaka...., tena ...mwisho wa siku ikabainika kwamba Mzee Mangula alilishwa sumu!! Nadhani hizo zote ni conspiracy theories shehe.Mkuu Unapenda Conspiracy theories eee?
Na hawawapendi watu wakweli na ukweli wenyeweWanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
Unachekesha!GONE TOO SOON
Kama Mzee Mbowe Senior Aikaeli alivyo mpa nauli Kambarage kutuletea Uhuru UN hivyo na huyu ameleta ukombozi kupitia The great LisuRIP kiongozi. Naona waungwana wanashadidia kukodisha ndege ya kumpeleka Lissu Nairobi 2017, kama kazi kubwa aliyofanya wakati wa uhai wake.
Lissu huwa hana shukraniApumzike kwa amani ndg Turki , bila shaka Lissu alipokuwa Zanzibar alisema nae chochote
Kwa imani na matendo, wako wanaojidhani wataishi milele ama bila wao wengine hawawezi ishi. Allah amrehemu Salim Turky na wengineo wenye haki waliotutangulia.Innalillah...
Ni hivi Majuzi Pale Uwanjani Zenji Alikuwepo Na Uso Bashasha Kwenye Ufunguzi Wa Kampeni wa dokta Mwinyi...
Duniani si nyumbani kwetu...Tutendeni Wema Jama!!
Tuchukue tahadhari Cov19 bado inatuzungukaUchunguzi ufanyike kuhusu kifo chake