Hii video umeiangalia? Leta nyingine iendane na ulichokiandika. Nadhani umeelewa.🙏🙏🙏Hii ni mojawapo mfanyabiashara wa bara anyang'anywa tenga 30 za ndizi na faini ya shilingi 50,000 kwa kosa la kuingiza ndizi Zanzibar
USSR View attachment 2502934
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta video nyingine. Hii haiendani na ulichokiandika. Asante.View attachment 2502959
Waziri wa Kilimo Zanzibar ameamrisha kutaifisha tenga 30 za ndizi za Veronica Mwanjala, mjane wa watoto 2 kutoka Dar es Salaam na kumlipisha faini ya Sh. 50,000 akisema soko la ndani la Zanzibar halihitaji ndizi za Bara. Video inaonesha maofisa wa wizara wakipekua ndizi hizo.
Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa ZanzibarHii ni mojawapo mfanyabiashara wa bara anyang'anywa tenga 30 za ndizi na faini ya shilingi 50,000 kwa kosa la kuingiza ndizi Zanzibar
USSR View attachment 2502934
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinaaandaliwa changamoto za Muungano za kimchongo ili kisaidia marekebisho ya katiba!Hii si nchi moja ?!
Hawa wala urojo ni wapuuzi sana aisee!View attachment 2502959
Waziri wa Kilimo Zanzibar ameamrisha kutaifisha tenga 30 za ndizi za Veronica Mwanjala, mjane wa watoto 2 kutoka Dar es Salaam na kumlipisha faini ya Sh. 50,000 akisema soko la ndani la Zanzibar halihitaji ndizi za Bara. Video inaonesha maofisa wa wizara wakipekua ndizi hizo.
Tundu Lisu na Zitto Kabwe kimyaViongozi Hapo Kimya Kimya
umewahi kusikia waziri wa bara kataifisha vitu vya wapemba? We unaona huyu waziri katumia akili za utu hapo? Kama hawataki ndizi ndio ataifishe?...huyo mama mpaka anafika hapo sokoni hakupita kwenye mamlaka za ukaguzi? Maswali ni mengi ila wazanzibar ni watu wa HOVYOKwanini wazanzibari wakiingiza bidhaa bara wanalipishwa kodi?
Mwenyekiti Wa Kijani Taifa Kimya SanaTundu Lisu na Zitto Kabwe kimya
Mbona ardhi mnamiliki bara wapemba kwenu hamruhusu, hiyo ni fair!?unfair kivipi mbona bidhaa ikitoka Zanzibar kuja bara inalipiwa kodi.
Kulipa kodi ni haki lakini kutaifishiwa mali bila sababu za msingi ni unyanyasajiunfair kivipi mbona bidhaa ikitoka Zanzibar kuja bara inalipiwa kodi.