Zanzibar: Serikali yazuia Mazao ya Ndizi kutoka nje, ndizi za Veronica Mwanjala kuharibiwa ili kuzuia Magonjwa

Zanzibar: Serikali yazuia Mazao ya Ndizi kutoka nje, ndizi za Veronica Mwanjala kuharibiwa ili kuzuia Magonjwa

View attachment 2502959
Waziri wa Kilimo Zanzibar ameamrisha kutaifisha tenga 30 za ndizi za Veronica Mwanjala, mjane wa watoto 2 kutoka Dar es Salaam na kumlipisha faini ya Sh. 50,000 akisema soko la ndani la Zanzibar halihitaji ndizi za Bara. Video inaonesha maofisa wa wizara wakipekua ndizi hizo.
Leta video nyingine. Hii haiendani na ulichokiandika. Asante.
 
Kama soko aliitaji ndizi za bara sasa siwamuache zimdodee apate asala ili siku nyingine asilete bidhaa hizo, mfanyabiashara mpaka kuipeleka bidhaa sokoni kaona bidhaa inalipa na kuna wanunuzj, huyo waziri mjinga yeye anatakiwa atulie aache soko liamue .

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2502959
Waziri wa Kilimo Zanzibar ameamrisha kutaifisha tenga 30 za ndizi za Veronica Mwanjala, mjane wa watoto 2 kutoka Dar es Salaam na kumlipisha faini ya Sh. 50,000 akisema soko la ndani la Zanzibar halihitaji ndizi za Bara. Video inaonesha maofisa wa wizara wakipekua ndizi hizo.
Hawa wala urojo ni wapuuzi sana aisee!
 
Kwanini wazanzibari wakiingiza bidhaa bara wanalipishwa kodi?
umewahi kusikia waziri wa bara kataifisha vitu vya wapemba? We unaona huyu waziri katumia akili za utu hapo? Kama hawataki ndizi ndio ataifishe?...huyo mama mpaka anafika hapo sokoni hakupita kwenye mamlaka za ukaguzi? Maswali ni mengi ila wazanzibar ni watu wa HOVYO
 
unfair kivipi mbona bidhaa ikitoka Zanzibar kuja bara inalipiwa kodi.
Mbona ardhi mnamiliki bara wapemba kwenu hamruhusu, hiyo ni fair!?

Mzenji anakuwa mpaka raisi wa bara, mbara haruhusiwi hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi hiyo ni fair!?
Wakina shaka na hangaya wanakula mema ya bara, mbara ananyang'anywa ndizi zake hiyo ni fair!?
Anyway ikifika uchaguzi huwa mnalipa gharama
 
Back
Top Bottom