Zanzibar: Serikali yazuia Mazao ya Ndizi kutoka nje, ndizi za Veronica Mwanjala kuharibiwa ili kuzuia Magonjwa

unfair kivipi mbona bidhaa ikitoka Zanzibar kuja bara inalipiwa kodi.
Kwani yeye amekataa kulipa huo ushuru, punguzeni umaskini tenga 30 za ndizi nayo ni ishu ya kushughulikiwa na waziri??? hawana kazi za kufanya? au ndio maana kila mara wanafuatana na rais wa muungano kila anapoenda bara.
 
Hata kama angemlazimisha kurudi bara na ndizi zake ingekuwa bora sio kumfanyia ukatiri kama huo.
 
unfair kivipi mbona bidhaa ikitoka Zanzibar kuja bara inalipiwa kodi.
Wakishalipa kodi wananyang'anywa bidhaa zao? Hivi umelewa context ya unyanganyi aliofanyiwa huyo mama. Kalipia vibali vyote na kodi na bado kaporwa bidhaa zake kwa sababu ya kijinga kabisa eti "soko la ndani la Zanzibar halihitaji ndizi za bara" kama ni kweli wangemwachia ndizi zake zingekosa wanunuzi zioze siyo kumnyang'anya
 
Enzi za Simba wa yuda ujinga kama huu haukuwepo!!!

Je anahitajika simba wa yuda Mwingine!!?

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu tuipendayo Sana!

Tuna shida ya muungano , that's all , hata kiongozi awe malaika bado waunguja watataka wapate favour over mainlanders
 
Unakumbuka sukari kutoka Zanzibar ilivyo pigwa marufuku kuingia bara?
 
Unakumbuka sukari kutoka Zanzibar ilivyo pigwa marufuku kuingia bara?
 

Ukitaka kutuaminisha huyo mama ndo anaanza biashara Leo?
 
Koti La Muungano Limeshambana Mvaaji Muda Mrefu
Tulisema samia hakuna chochote alicho tatua kwenye muungano bali kachochea matatizo zaidi....Saa 100 hafai kuongoza binadamu labda nguruwe tu
 
katika vitu ambavyo mwal.alitukosea Sana ni hili swala la muungano ,muungano uko biased Sana .
 
Najiuliza wazir wa kilimo na kundi la maafsa wengine wa serikali wamekwenda mpaka bandarin kutoa maamuzi ya Tenga 30 za ndizi kweli? Haya ni matumizi mabaya ya rasilimali na inaonyesha wazi Hawa watu hawana kazi za tija zaidi ya kupokea mshahara wa Bure tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…