sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Kwani yeye amekataa kulipa huo ushuru, punguzeni umaskini tenga 30 za ndizi nayo ni ishu ya kushughulikiwa na waziri??? hawana kazi za kufanya? au ndio maana kila mara wanafuatana na rais wa muungano kila anapoenda bara.unfair kivipi mbona bidhaa ikitoka Zanzibar kuja bara inalipiwa kodi.