Zanzibar: Serikali yazuia Mazao ya Ndizi kutoka nje, ndizi za Veronica Mwanjala kuharibiwa ili kuzuia Magonjwa

Zanzibar: Serikali yazuia Mazao ya Ndizi kutoka nje, ndizi za Veronica Mwanjala kuharibiwa ili kuzuia Magonjwa

Unakumbuka sukari kutoka Zanzibar ilivyo pigwa marufuku kuingia bara?
Zanzibar hawana sukari, Wafanyabishara wa Zanzibar wanaagiza sukari nje ya nchi iliyo kwisha muda wa matumizi kisha wanaibadirusha na kuipaki kwenye mifuko ya kiwanda cha Zanzibar ili ionekane imezalishwa Zanzibar .

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Umeme hatujasamehewa. Ile ilikiwa ni haki yetu. Mnauuza umeme kwa nchi jirani bila ya kutoka VAT. Lakini miaka yote mlikuwa mnaiuzia umeme Znz huku bei yakena include VAY ndiyo. Maana Znz wakagoma kulipa VAT. Kwa hivyo kilichosamehewa ni deni la VAT ambalo halikutakiwa kulipwa at first place. Kamtafute Ndungai YouTube utapata kujua na kutoa ujinga? Mnakumbuka si mlichoma vifaranga nyinyi. Kumbuka kilimo si mambo ya muungano shuba miti were!!
Mnajeuri ya kugoma!?
Mngelijua hilo mngetafta mtu wa kuwauzia bila vat au mliposaini mkataba
hamkuona kipengele cha vat!? Mnalilia ety mtawasha vibatari mpaka huruma.
Sema hii miaka miwili iliyobaki furahini tu baadae muanze kuomba kuvunja muungano
atakaposhika hatamu mbara labda mpaka mrudishe hayo matrion mnayochukua kwa mkopo
wa bara, na kwa kuuza karafuu tu na bajeti ya mwaka 500bil hilo haliwezekani mmeshatuuzia
wabara visiwa vyenu mda wote
 
Who sounds naive here!!?..how old are you!?...hakuna nchi inaitwa Tanzania Bara...Bali Kuna nchi inaitwa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Waambie maccm menzako sisi tunajua kuna Tanganyika mliyoibatiza Tanzania bara,
Na huu upendo wenu wa muungano uendelee hata raisi akiwa mtanganyika na tusiwasikie
mnalia lia kwenye uchaguzi mnauliwa na wabara wakati mnaraisi wenu na nchi yenu.
 
Umeme hatujasamehewa. Ile ilikiwa ni haki yetu. Mnauuza umeme kwa nchi jirani bila ya kutoka VAT. Lakini miaka yote mlikuwa mnaiuzia umeme Znz huku bei yakena include VAY ndiyo. Maana Znz wakagoma kulipa VAT. Kwa hivyo kilichosamehewa ni deni la VAT ambalo halikutakiwa kulipwa at first place. Kamtafute Ndungai YouTube utapata kujua na kutoa ujinga? Mnakumbuka si mlichoma vifaranga nyinyi. Kumbuka kilimo si mambo ya muungano shuba miti were!!

Sio mambo ya muungano ila kuwa wakuu wa wilaya tanganyika ni suala la muungano?
 
Wakishalipa kodi wananyanganywa bidhaa zao? Hivi umelewa context ya unyanganyi aliofanyiwa huyo mama. Kalipia vibali vyote na kodi na bado kaporwa bidhaa zake kwa sababu ya kijinga kabisa eti "soko la ndani la Zanzibar halihitaji ndizi za bara" kama ni kweli wangemwachia ndizi zake zingekosa wanunuzi zioze siyo kumnyang'anya

Soko linajitoshereza yet wanaenda kuwagawia wafungwa? Si wangezitupa baharini kama hakuna walaji .
 
Umemsahau mwingereza aliyemweka madarakani Nyerere baada kupinduliwa ???
hao wote walikuwa hawamtaki mwarabu na hizbu yao. Nyerere alizimishwa tu. Ndio maana ni muungano wa ajabu hapa duniani
 
hao wote walikuwa hawamtaki mwarabu na hizbu yao. Nyerere alizimishwa tu. Ndio maana ni muungano wa ajabu hapa duniani
Kwani Waziri Mkuu Muhammed Shamte mpemba wa Ole alikuwa mwarabu ?
Shamte hakuwa Hizbu alikuwa ZPPP
 
Llłlllllölöllllööllölööllöllåå
Soko linajitoshereza yet wanaenda kuwagawia wafungwa? Si wangezitupa baharini kama hakuna walaji .
Kwani wafungwa siku hizi hawalimi?
 
Waambie maccm menzako sisi tunajua kuna Tanganyika mliyoibatiza Tanzania bara,
Na huu upendo wenu wa muungano uendelee hata raisi akiwa mtanganyika na tusiwasikie
mnalia lia kwenye uchaguzi mnauliwa na wabara wakati mnaraisi wenu na nchi yenu.
Si muanze kuliondosha jeshi lenu la uvamizi kwanza
 
Kwani Waziri Mkuu Muhammed Shamte mpemba wa Ole alikuwa mwarabu ?
Shamte hakuwa Hizbu alikuwa ZPPP
kifupi motivation kubwa ilikuwa sababu ya cold war kulikuwa na wasiwasi kwa mabeberu juu ya ukoministi
 
Mijitu inaandika kama bidhaa toka Zanzibar zinalipiwa kodi, mleta mada kaandika baada ya kufanya taratibu za malipo ndiyo amri ikatoka toka kwa waziri kama ndizi haziruhusiwi kuingia Zanzibar, kama ndizi zilizopo Zanzibar zinajitosheleza, sio kama asitulipiwa kodi, ila bidhaa hiyo haitakiwi. Ili kupunguza sintofahamu kama hizi kungebandikwa tangazo bandarini kama bidhaa aina hizi haziruhusiwi kuingia Zanzibar au ukitaka kuingiza bidhaa aina hii ukitaka kuingiza basi fata taratibu hizi.ili kupunguza misuguano isiyo ya lazima.
 
Back
Top Bottom