love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Mbona mnahamisha magoli zanzibar wanakiwanda cha sukari!?Unakumbuka sukari kutoka Zanzibar ilivyo pigwa marufuku kuingia bara?
Angalia context ya unachokisema kabla ya kusema.
Ile sukari sio ya Zanzibar ni ya nje