Zanzibar: Simai Mohamed Said, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale ajiuzulu siku mbili baada ya kutangaza uhaba wa pombe kwenye hoteli na migahawa

wazanzibar kama wamechanganyikiwa ruhusu pombe tuu mnajitesa bure
 
Kiukweli Wanzanzibari ni Majasiri Sana!, nakumbuka enzi za ngangari na ngunguri, sijui ni kwanini mpaka leo hatujawahi kupata CDF, IGP or DGIS Mzanzibari?!, jee inawezekana Wanzanzibari wenye uwezo huo wapo ila wanabaniwa tuu?. Niliwahi kuuliza Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine? au kwavile ujasiri ni mambo ya morality na ukakamavu ni physique, jamaa ni majasiri tuu ila kwenye physique ni laini laini ndio maana jeshini wanahesabika?.

P
 
Mh! Kumbe Zenji pombe inatikisa waliopo kwenye mamlaka? Bado 🐷
 
Hujamuelewa vizur, Mh Simai ana exposure kubwa sana maana ameishi sana nchi za Ulaya alafu hana njaa na sio mnafiki tofauti na mawazir wengine wa SMZ mm naona yeye ameipigania sana sekta ya utalii na hakuwa tayar kuona utalii Zanzibar unayumbishwa sasa kwa jinsi inavyoonekana Kuna baadhi ya taasis hapo Zanzibar mfano hiyo bodi ya vileo wanamkwamisha katika kazi yake maana hiyo bodi inaendekeza sana mambo ya dini na huko nyuma wameshafungia bar na kumbi nyingi za starehe zanzibar kwahiyo Mh Wazir kaona isiwe taabu aachie ngazi maana huwezi ukawa unataka kukuza utalii alafu unawa limit watalii kwenye starehe zao, Saudia kwenyewe yalipo makao makuu ya Kobaz wote duniani juzi wametangaza pombe kuanza kuuzwa wewe kizimkazi ni nani uwashughulishe watu na starehe zao.
 
Wabara ndo mana mtazidi kuwa maskini na kukosa maendeleo hadi kiama.
Maendeleo ni nini ? Na kuendelea kwenda wapi ? Bila kuwa na premise ya destination ni wapi (wapi tunataka kwenda ni vigumu kusema kama tumeendelea au hapana) kama tunataka Zanzibar kuwa Kitovu cha utalii na watu wanaokuja (watalii) wanataka mambo fulani ni vigumu sana kuendelea kufikia unachotaka kama haukidhi vinavyotakiwa kukufikisha huko
Uongozi ni utumishi sio ajira. Mawazo yenu ya kuwaza uongozi ni ajira ndo mana mnaendekeza maslahi binafsi na mnashindwa kusimamia ukweli kwenye masuala ya msingi.
Aliyesema ni ajira ni nani ?, na Nini maana ya Ajira.... Pia Utumishi ni nini ? Kama unatumikia watu ambao kwao Pombe ni ruksa alafu unazuia wapi na wapi (Kama ni Kiongozi wa Dini Basi sawa) ila sio Kiongozi wa Utalii
Hongera sana kwa huyu Waziri aliyejiuzuru. Anaonekana tu ni mtu smart na ndo mana Zanzibar inapiga hatua sana kwenye maendeleo. Inaelekea Mwinyi anajali sana smartness kuliko machawa na watu maslahi
Again maendeleo ya kwenda wapi ? Ya Utalii au kutangaza Dini / Imani ?
 
Kwanini Bodi Ya Vileo Zanzibar Iliwaondoa Wasambazaji wakubwa wa Pombe Zanzibar? Walikubaliana na Nani? Nani Alikuwa Nyuma ya haya maamuzi, ambayo Waziri alionekana kupingana nayo?
Hiyo Bodi Ya Vileo Zanzibar wajumbe wake ni wale kobaz konk masheikh na maulamaa unategemea nini? Huko nyuma wameshafungia bar na kumbi nyingi za starehe kwa kigezo Cha dini ya munyaazi mungu ngoja , ni suala la muda tu Husein Mwinyi ata deal nao perpendicularly la sivyo ategemee sekta ya utalii kuyumba.
 
Saudia tu wanaanza kuruhusu pombe
Na huko dini ndiyo ilipoanzia

Ova
 
Hivi wewe ata unaelewa kwanini amejiuzulu? Nani kakwambia anapinga pombe? Wakati yeye ndio alikuwa anafanya mchakato wa kuhakikisha Pombe inapatikana maana anajua fika pombe zanzibar ipo toka zamani!
 
Mimi nimejibu mleta Uzi aliyeunganisha alichofanya kwamba ni Imani yake na kinachofanyika ni Sawa ila kama amefanya hivyo kutokana na kukwamishwa na hao wanaoleta Imani zao kwenye mambo ya Msingi basi Heko kwake...
 


Hujaelewa vizuri, fuatilia kabla ya kujiuzuru alisemaje
 
Hivi wewe ata unaelewa kwanini amejiuzulu? Nani kakwambia anapinga pombe? Wakati yeye ndio alikuwa anafanya mchakato wa kuhakikisha Pombe inapatikana maana anajua fika pombe zanzibar ipo toka zamani!
Mleta Uzi wa mwanzo nilichojibu kwake na sasa ni tofauti..
 
Hivi wewe ata unaelewa kwanini amejiuzulu? Nani kakwambia anapinga pombe? Wakati yeye ndio alikuwa anafanya mchakato wa kuhakikisha Pombe inapatikana maana anajua fika pombe zanzibar ipo toka zamani!
Mleta uzi mwanzoni alipotosha kwamba alichofanya ni sababu ya Imani yake ila kumbe amefanya hivyo kwa kutokutaka kupelekeshwa na watu wa Imani... ila kama amefanya hivyo kulingana na kazi yake Heko kwake...
 


Mambo ya nchi ya Zanzibar yanatuhusu nini !.
 
Kwanini Bodi Ya Vileo Zanzibar Iliwaondoa Wasambazaji wakubwa wa Pombe Zanzibar? Walikubaliana na Nani? Nani Alikuwa Nyuma ya haya maamuzi, ambayo Waziri alionekana kupingana nayo?
Maswali ya msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…